karibu

kwa habari moto moto

Sunday, November 1, 2015

arsenal ya waka, mourinho mambo magumu

arsenal the gunner yapata ushindi wa goli 3-0 dhidi ya swansea city , wakati mogoli ya olivier giroud ,koscienly na joel campbel yalitosha kuizamiha swansea city,

pichani juu olivier giroud akifunga goli la kwanza

wakati huo huo mesut ozil kafikisha pasi zilizo zaa magoli 8 ambazo hazija fikiwa na yoyote msimu huu wakati mmichezo inaendelea
Joel Campbell of Arsenal celebrates scoring the third


joel campbel akishangilia goli lake la kwanza epl akiwa na arsenal

matokeo mengine man city wamepata ushindi wa goli 2-1 huku kolalov akikosa penalt, manchester united wakitoa sare dhidi ya crystal palace, chelsea imeambulia kipigo cha goli 2-1

No comments:

Post a Comment