
qchila akiwa na tid moja ya ngoma zao zamani nilikataa
qchila amesisitiza wakongwe wasaidiwe washikwe mkono kwani wameisaidia bongo flava kufika hapa aidha qchila ametanabaisha kuwa baada ya kutoa video ya ngoma hiyo ndipo project yao ya pamoja itarejea
No comments:
Post a Comment