baada ya kukosa kurudi katika ubora wake nohodha wa timu ya taifa ya england na manchester united wayne rooney ameonekana katika mieleka akishuhudiamichuano hiyo ya WWE RAW huku wayne rooney akimpiga kibao wade barret na shamus kushinda pambano hilo
wayne rooney akimchapa kibao barrete
wayne rooney
katika pambano hilo shemus kashinda kwa technical baada ya barret kuchapwa kibao na shemus kutumia vizuri nafasi hiyo kumbana na kushinda
wayne rooney akimchapa kibao barrate
No comments:
Post a Comment