kiba amebainisha kuwa wazo lao wame lisajili na wana hisi litakuwa vizueri sana na yoyote atakae taka kurekodi movie aje na kiasi kiicho pungua milionn 700

alikiba na christian bella wakali wa masauti wakiwa sauth afrika pichani juu wakirekodi video nyimbo yao ya pamoja naghramia
nyimbo hiyo itatoka na video maana vyote viko tayari video imefanywa na director w kenya alie fanya number one remix ya dimond platnumz bin laden
No comments:
Post a Comment