aston villa wame pata kocha mpya mara baada ya kumfukuza kazi aliye kuwa kocha wa awali tim shawood, villa waementeua kocha wa zamani wa lyon remi garde kuwa kocha mkuu wa timu hiyo, Remi garde
hata hivyo ata kwaana na kibarua kizito pindi kocha huyo mechi yake ya awali atacheza na tottenham spurs 02/11/2015
kocha huyo amenteua reginald ray kuwa msaidizi wake ,, ray alikuwa kocha wa bastia
No comments:
Post a Comment