wakati wnanjiandaa kutoa album yao sauti sol wanatarajia kutoa ngoma yao mpya walio mshirikisha alikiba sauti sol alikiba akiwa na sauti sol
vijana hao wakenya wamewashirikisha wasanii v-money ,joh makin katika nyimbo zao ambazo zitakuwa katika album ya pili baada ya kutoa hii.
katika ukurasa wao wa instagram wameweka picha hiyo
No comments:
Post a Comment