katika kuhakikisha muziki wetu unaenda mbali haswa baada ya muziki w kufoka foka kuonekana kuzorota japo ndio haswa wenye ujumbe katika maisha halisia rappa kutoka kaskazini JOH MAKINI ata itoa leo ngoma yake mpya aliyo mshirikisha rappa mwingine mkali AKA wa afrika kusini
intagram page ya joh na mtv base wameweka picha hiyo juu na chini wameandika speaking new today at 16:00wat,17:00, 18:00 JOH MAKI FT AKA ,, kila laheri joh
No comments:
Post a Comment