kocha alie jizolea sifa nyingi england katika timu ya everton david moyes , yamekuta tena yaliyo mkuta manchester united moyes 52 amefututwa kazi baada ya mwenendo mbovu wa timu hiyo ambayo msimu ulio pita aliishia nafasi ya 12 na bod ya timu hiyo kuamua kusitisha mkataba wake
david noyes akiwa mazoezin
nafasi yake ataikaimu kocha msaidizi billy mckinlay,moyes alichukuliwa na timu hiyo msimu ulio pita 2014 baada ya kutimuliwa kazi manchester united
No comments:
Post a Comment