job ndugai ndiye spika wa bunge la 10 la jamhuri ya muungano wa tanznaia mara baada ya kuibuka mshindi wa kiti hicho kwa 70% ya kura zilizopigwa mchana wa leo, wagombea walikuwa wengi ,moja ya mgombea wa kiti hiko alikuwa hashim rungwe ambae yeye hakutokea bungeni katika kujieleza

mheshimiwa spika job ndugai moja ya picha zake
ndugai ni mbunge teule wa jimbo la kongwa dodoma ,katika bunge lililopita alikuwa naibu spika wa bnge akiwa chini ya mama anna makinda ambae aliweka historia ya spika wa kwanza mwanamke Tanzania tangu ipate uhuru
No comments:
Post a Comment