mahabiki wa chelsea waamua kumtetea kocha wao mara baada ya kuandika mabango hapo jana kuwa hakuna zaidi ya mourinho , kipindi hiki ni kigumu mno kwa kocha huyo ambaye timu hiyo ipo nafasi ya 15 ikibeba alama 11 katika michezo 12 iliyo pita ,hii ni mara ya kwanza chelsea ya mourinho kupata matokeo mabaya
moja ya picha ktk mitandao ya kijamii ikimuandika hivyo joe mourinho
No comments:
Post a Comment