Makosa yaliyokuwa yakimkabili ni mawili ambayo ni kushawishi watu kutenda kosa, pamoja na kutoa matamshi yanayoumiza imani ya dini nyingine.
Hakimu wa kesi hiyo Mary Moyo amesema ushahidi uliotolewa na upande wa mashitaka haukujitosheleza hivyo mahakama hiyo imemwachia huru na rufaa iko wazi endapo upande wa mashitaka hautaridhika na hukumu hiyo.

picha ya sheikhe ponda issa ponda
jaji alie kuwa anasimamia kesi hiyo amemshauri sheikhe ponda kufungua kesi ya bakwatwa na kampuni agritanza limited aliyo uziwa eneo la waislam lililopo chang`ombe jiji dar es salaam na ame mshauri aisende kwa namna nyingine bali atumie njia ya mahakama,, pia imemuachia kwa kipindi cha miezi 12 kwa shart la kutofanya kosa lolote
source;mwanachi
source:east africa
No comments:
Post a Comment