Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania dkt Joh Pombe Magufuli ameendeleza ahadi zake ya kupunguza vitengo visvyo na faida katika uongozi wake hii ameisema wakati wa kampeni zake moja ya ahadi zake ilikuwa kupunguza baraza la mawaziri pamoja na vitengo vingine ambavyo havina maana na faida kwa nchi,
moja ya vitengo alivyo viondoa ni kitengo cha chakula kwa rais ikulu pamoja na kitengo cha kukaribisha wageni binafsi ameviondoa vitengo hivyo na sasa walio kuwepo amewarudisha katika vitengo vya awali, hu ni muendelezo wa ahadi zake alizo ahadi
source dar24
No comments:
Post a Comment