afrika limetoa watu maarufu duniani karibuni 99% ya dunia ni watu weusi kwa wale ambao wanapenda kulaumu mungu kwanini haja tuopendelea na sisi watu weusi moja ya vitu alivyo tup ni hivyo watu wote maarufu huwa ni weusi na wanapesa zao kuliko weupe, mfano,,barack obama ,jay zee,beyonce,michel jackson,,,50 cent na wengine wengi ambao sijawataja hao wote ni weusi,, tulicho nyimwa waafrika fikra pekee ambayo hicho ndicho kinacho tusumbua hadi wanakuja kutuchukulia mali zetu wanaondoka nazo bila kujua kisha baada ya kuondoka tuna gundua baadae kabisa na tunaanza kujilaumu,.
mungu amelipendelea bara hili la afrika kuwa moja ya maeneo yenye maliasili na vivutio vingi ambavyo vingetumika sawa sawa tuinge weza kuomba misaaada,, wafrika tunajiumiza kwa ubinafsi pindi mmoja anapopata nafasi hafanyi makosa kuiba na kujinufaisha wenyewe mfano mzuri Jamhuri ya muungano wa Tanzania tunaona tembo wanaibiwa wanawekwa katika ndege pia vitu tunaviona ufisadi na habari nyingine za kuudhi hii yote inatokana na ubinafsi tulie nao wa afrika
tufanyeje ili tukomeshe vitu kama hivi viongozi waliopewa nafasi wafanye utaratibu wa kunufaisha watu wote ili tutoke haopa tulipo na tuvuke zaidi libya ilikuwa miongoni mwa nchi zinazo nufaika na rasilimali zake kwakuwa hatuja zoea kupata raha wakaamua kumuua kiongozi wao alieta faida kubwa katika taifa lao

hii ni ramani ya bara la afrika tanznaia inaoneka afrika mashariki sehemu yenye maziwa
No comments:
Post a Comment