karibu

kwa habari moto moto

Friday, December 4, 2015

black rhino awataja wasifu wa Alikib,diamond,fa,fid q

msanii na mkali wa mistari kipindi hicho na mkali wa black chata  kwa jiina maarufu black rhino amewashari vijana kuoa mapema kwa ajili ya kuweza kuwalea watoto wao wakiwa bado vijana ametolea mfano yeye ameoa akiwa na umri wa miaka 30, black rhion amezaliwa mwaka 1982 hivyo hadi sasa ana miaka 33 na amedumu katika ndoa kwa zaidi ya miaka 3


msanii huyu wa michano ya hip hop amebahatika kuwa na mtoto mmoja na amesema atajitahidi kupata watoto kadri atakavyo jaaliwa na mungu,, amejilaumu kwanini amechelewa kuoa na amewashauri vijana kuwa umri sahihi wa kuoa ni miaka 25 kama uwezo upo kwa maana ya mahitaji muhimu na matunzo

akiongea na millard ayo tv rhino alipo ulizwa kuhu mwana fa amesesema kuwa wote ni watunzi wazuri na wako kaktika katika kiwango bora,,Fid q anatunga huwezi kuelewa kwa wakati huo ila anacho kiongea kina maana sana na ukielewa baadae ,fa anatunga direct unaelewa mda huo huo,, so wako vizuri wote

Alikiba amesema kuwa moja ya wasanii wenye sauti nzuri sana sauti yake ameifananisha na trampet(piano) vanesa mdee amesema ni moja ya wasanii walio katika image nzuri ya usanii na anaweza kweli ila anapenda sauti yake,,

alipo ulizwa dimond platnumz amesema ni hard work man, anafanya kazi na kutaka kile kitu alicho kiwaza akipate,, pia ana bahati

benpoul amemtaja kama ndio r&b ya ukweli kwa Tanzania,, christian bella amemtaja kuwa moja ya best na ni mbaya katika kuandika na ameshangaa ni msanii mkubwa na kinacho mkwamisha katika kutusua anahisi utaifa ndio una msababisha so utaifa ila sio sawa mwenye haki apewe

kama angekuwa jaji angempa best vocalist,best righter  pia anahamu ya kufanya kazi na christiani bela wafanye bend na hip hop




No comments:

Post a Comment