
roberto ameyasema mengi kuhusu dk magufuki kubwa alilo sema kiongozi huyu ni mfano mzuri wa kuigwa kwa wa afrika wote na atapata kitu cha kuongea akifika zambia juu ya serikali yake na raisi wa nchi hiyo roberto pia amesema magufuli anaongoza kwa mifano ni nadra sana viongozi kama hao kutokea afrika nampa saluti raisi wenu siku chache alizo kaa na mabadiliko tuna yaona hivyo ndivyo kiongozi anatakiwa
roberto ambae amekuja katika show amesema kuwa vanesa mdee amefanya nae collabo na nyimbo iko tayari pia kuna collabo na shetta baada ya show atapata nafasi ya kuzunguza na uongozi wa alikiba pia uongozi wa dimond katika kufanya nao kazi, mkali huyu wa hit single ya amalula ameongeza kuwa nyimbo za tanznaia zinapigwa sana zambia hususani dimond planumz alikiba ,, vanesa mdee na feza kessy
No comments:
Post a Comment