olivier giroud awa mchezaji wa saba kuingia rekodi za arsenal baada ya kuifunga aston vila kafikisha goli 50 katika mechi 113 ana kuwa mchezaji wa tatu kufunga magoli hamsini akiwa na mechi 113 wakatyi yeye aakifanya hivyo wachezaji wengine waliofika rekodi hiyo ni KING THIERY HENRY yeye kafunga goli 50 kwa mechi 83 tu,,,
deni berkanmkp amefikisha mabao 50 kwa mechi 114 wakati nafasi ya pili kwa wagungaji wa arsenal kwa haraka inashikwa na IAN wRIGHT kwa mechi 87 wengine ni ROBERT PIRES mechi 137 huku ROBIN VAN PERSIE alifunga goli 50 akiwa na mechi 142 wa mwisho katika listi hii ni THEO WALCOT yeye amefunga magoli kama hayo kwa mechi 208
No comments:
Post a Comment