joketi mwongela awa mtanznia wa nne kufikisha followers milioni katika ukurasa wa instagram
joketi mwengelo awa mtanzania wa nne kupata followers milion 1 wa kwanza alikuwa dimond akafuata wema sepetu akaja millard ayo na sasa JOKET nae kafikisha followers milion moja
katika ukurasa wake wa fecebook ame washukuru followers wake kwa kumfikisha hapo ameandika
GOOD MORNIGN , KISSES TO ALL MY ONE MILLIONS ON INSTAGRAM,,, MU BUTHU BUTHU TELE KWENU NYOTE kwa kufikia milioni moja katika page yangu
No comments:
Post a Comment