godbless lema ndiye mbunge wa arusha baada ya kufanyika uchaguzi wa ubugne hapo jumapili na kuibuka kura elfu 68 dhidi 35 elfu ya mpinzani wake wa chama cha mapinduzi Philimon mollel act wamepata kura 353 hivyo mbunge huyo kutetea tena kiti chake
Lema ataungana na wabunge wenzake bungeni kwa ajili ya kusaidia wananchi wake watakacho mtuma uchaguzi huo ulisimmishwa na kusogezwa mbele kutokana na sheria zilizopo na hivyo lema kuchaguliwa tena
No comments:
Post a Comment