belle9 ni mzaliwa wa morogoro na amefanya nyimbo kali zote alizo wahi kufanya kifupi hazija wahi kubuma tangu atoe nyimbo zake na hilo halina ubishi kwa wasikiliza music swafi belle9 amefanya makubwa

moja ya watu ambao hana malumbano na mtu na anafanya muziki wake kwa utaratibu unao takiwa na pia anasubra,, bele 9 alishawahi kusema kuwa anacho mzidi dimond ni connection tu ila katika kuimba niko vizuri kuzidi yeye ,, hapa michukiulie bifu belle 9 ni muimbaji hodari sana na anavyo kuja sasa naona anakuja kivingine mara baada ya kutoa nyimbo yake video
hivi sasa trace wanapiga nyimbo yake na pia kuna nyimbo nyinge inaitwa burger movie selfie,trace wamesema itakuwa
No comments:
Post a Comment