
robin van persie wakati huo akiwa manchester united
Kocha huyo amebainisha kuwa Memphis Depay (21) anahitaji kucheza kwa ajili ya timu zaidi ili apate nafasi katika kikosi hicho kwa maana sasa anaonekana hayupo tayari.
Uholanzi ilishindwa kufuzu kucheza fainali za mataifa ya Ulaya EURO 2016 nchini Ufaransa huku wachezaji Robin Van Persie na Memphis Depay wakigombana wakiwa mazoezini kuelekea michezo hiyo ya kufuzu.

depay akiwa manchester united
Depay aliyetarajiwa kuwa nyota mpya ya Uholanzi na hata kusajiliwa kwa dau la pauni milioni 25 kutoka PSV Eindhoven kuelekea Manchester United, amekua akifanya vibaya hadi kupelekea kuwekwa nje na kocha wake Louis Van Gaal wa Manchester United.
No comments:
Post a Comment