mourinho tena katika vichwa vya habari wiki hii,, chama cha soka england kime mtoza faini kocha wa chelsea baada ya kutoa lugha chafu dhidi ya mwamuzi aliechezesha dhidi ya west ham united kocha huyo mara kwa mara mwaka huu amepata adhabu mfululizo sasa atatoza faini ya pound 40,000
mourinho amekiri kosa dhidi ya matamshi yake hivyo kama haja kata rufaa atakosa mechi moja
No comments:
Post a Comment