karibu

kwa habari moto moto

Sunday, November 1, 2015

arsenal yafikisha magoli 2000 tangu wenge aifundishe timu hiyo

arsenal imefikisha magoli 2000 tangu wenger aanze kuifundisha timu hiyo 1996-2016 goli la elfu mbili lilifungwa na olivier giroud katika mchezo  dhidi ya swansea city hiyo kufikisha goli la elfu mbili,, olivier giroud ndiye ilie fanikiwa kufikisha goli hilo la 2000


hivi ndivyo mitandao mbali mbali ilivoyo andika,, magoli mawili yaliyo fungwa na koscienly na campble yanafikishamagoli 2002 sasa tangu wenger ashike hatamu , timu hiyo yenye makani yake lodoni emirate ,, ina mtihani mgumu jumatano itakutana na buyrn munich katika mchezo wa uefa ili ijihakikishie kubaki hatua ya mtoano inatakiwa waifunge buyern munich,, ili uwiano wa alama uwe sawa
arsenala ina majeruhi nane wa kikosi cha kwanza,, ramsey,walcot,chamberlein,rosicky,arteta,welbeck,wilshare na ospina

No comments:

Post a Comment