
umahiri wa samweli sitta unafahamika katika bunge la tisa ambapo aliweka usawa na umoja katka bunge hilo bunge lililopita alikatwa kwa kigezo cha kumpisha mwanamke naye auongoze , akizungunza katika kipindi cha azam tv sitta amesema hato kubali kukatwa tena kinacho takiwa anae pita ndiye atakaae ongoza

zungu yeye alifanya vizuri bunge lilo pita kwa kuachiwa kuwa mwneye kiti ali tenda haki ahata wapinzani walipenda uongozi wake
hivyo kutakuwa na umuhimu mkubwa katika kinyang`anyiro hiko
No comments:
Post a Comment