
nikki wa pili wakati aki graduate degree yake miaka kadhaa iliyo pita
nikki wa pili ni mmoja wa wasanii wasomi zaidi nchini tanzania yuko tayari kumtAFUTA director mkubwa kutoka nje kwa ajili ya kutengeneza video yake .. wakati akifanya hayo kaka yake joh makini amepiga hatua kubwa katika video baada ya kutamba na video yake ya sasa dont bother aliyo mshirikisha aka ,,
nikki wa pili pia ametoa sababu ya kwanini video yake ya SAFARI aliye washirikisha wakali kama ,jux,vmoney,joh makini,gako kuwa umbali wa wasanii hao ndio ulio fanya video hiyo kutotoka
No comments:
Post a Comment