alikiba ametua marekani kushoot video mpya baada ya kupata mawasiliano na video quuen kutoka marekani,, hii leo ameonekana akipiga picha akiwa na video queen huyo wa chriss brown ,,nikki minaji, rihana,,, katika page yake ya instagram yaani
@officialalikiba ameweka picha hizo
alikiba akiwa na video quuen huyo aliya janel

picha hizo alikiba akiwa na video quen huyo

alikiba hapo akifanya yake
source : alikiba instagram
No comments:
Post a Comment