hii ni first eleven ya mchezaji mkongwe wa arsenal aliye itoa kama team yake ya wakati wote,, kama wachezaji wanao cheza sasa hivi wange kuwepo ni wachezaji wanne wa kikosi cha kwanza ndio wanfeweza kuanza katika kikosi chake
mara nyingi wachezaji wakitaja vikosi vyao bora kwa wapendao sasa pires ametaja kikosi bora
kocha :robert pires
No comments:
Post a Comment