
mh docta john pombe magufuli
katika uchaguzi huo ana mghirwa amekuwa mshindi namba tatu mara baada ya kupata kura elf 92,waangalizi wa kimataifa wameisifu Tanznaia kwa uchaguzi wa amani na kufuata taratibu

moja ya picha za mheshimiwa john pombe magufuli akiwa kijana, mgombea mwenza samia suluhu ndiye atakuwa makamu

samia suluhu akiwa katika kampeni
No comments:
Post a Comment