karibu

kwa habari moto moto

Saturday, October 10, 2015

matokeo ya tuzo za afrimma yaliyo fanyika usiku wa 10/10/2015

Matokeo ya tunzo za afrimma award 2015 Miongoni mwa tuzo kubwa barani afrika ukiachilia zile za mtv hizi nazo kubwa mno wasanii mbali mbali mbali walishiriki katika kutajwa kuwania tunzo hizo Miongoni mwa tunzo ambazo zilipigiwa kelele na mashabiki wa Tanzania ile ya msanii bora africa mashariki ambayo team dimond na team kiba walikuwa wanachuana vikali Tuzo ya msanii bora wa kiume afrika magharib imeenda kwa davido ambapo hapa nae alikuwa na hasimu wake wizkid,wakati ya mwanamuziki bora wa kike imeenda kwa Yemi alade ,huku nyimbo ya kushirikiana ikiwa imeedna kwa bracket ft dimond na tiwa savage Sasa msanii anae chipukia imeenda kwa ommy dimpoz, na msanii bora afrika mashariki imeenda kwa v-money ,, vanesa mdee Wakati dimond akiwa ameshinda ushindi mkubwa kwa kubeba tunzo tatu ,msanii bora wa afrika mashariki,dancer bora wa video na msanii bora wa mwaka Dimond platnumz ame peperusha tena bendera ya Tanzania vivo hivyo kwa ommy dimpoz na vanesa mdee

No comments:

Post a Comment