karibu

kwa habari moto moto

Sunday, October 25, 2015

utovu wa nidham waigharimu chelsea

chelsea imepata kichapo kingine kutoka kwa west ham united 2-1 nemanja matic alipata kadi nyekundu ,katika mchezo huo wachezaji wengine watano wa timu hiyo wamepata kadi za njano, huku manager wa timu hiyo jose mourinho akitolewa katika benchi la ufundi baada ya kukiuka masharti ya mchezo huo,
Mauro Zarate aliweka West Ham mbele dakika ya 17 baada ya Chelsea kushindwa kujilinda vyema wakati wa kupigwa kwa kona.


carrol akifunga bao katika mchezo huo

Gary Cahill alisawazisha dakika ya 56 lakini Carroll aliyeingia kama nguvu mpya alifikia krosi ya Aaron Cresswell na kufunga kwa kichwa dakika ya 79
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alikataa kuzungumza na wanahabari  baada ya kichapo hicho

No comments:

Post a Comment