mara baada ya arsenal kuifunga Manchester united ule wimbo wa Juma Nature alio uimba tatu bila na kundi lake la tmk wanaume halisi tatu bila tatu bila sasa wafufuka rasmi mara baada ya timu ya soka ya arsenal kuifunga tatu bila club hiyo ya jiji hapa
kutokea kipindi cha miaka mitano iliyo pita arsenal timu hizo zimekutana mara 14 arsenal imeshinda mara 4 na manchester united imeshinda mara 7 huku zikitoka sare mara 3 ...wakati wote huo arsenal bado hawajalipa kipigo cha bao 8-2 mwaka 2011
mabao ya arsenal yalifungwa na alex sanchez maboa mawili na bao la tatu la arsenal limefungwa na Mesut mustafa OZIL.. bao la kwanza lilipatikana dk ya 5 ambapo Ozil amempatia usaidizi sanchez na kufunga goli zuri la kisigino baada ya hapo arsenal waliliandama goli la manchester united dk mbili baadae arsenal wamepata goli la pili amabapo lilipatika kana ndani ya sekunde nne kutokea golini mwa arsenal
kikosi cha arsenal kilinogeshwa na cech,bellerin,monreal,metersacker,paulista,coquelin,ramsey,cazorla,theo walcot,ozil na sanchez huku man u ikipambwa na , de gea,damian,young,blind,smalling,carrick,depay,schweinsteiger,martial,rooney,mata
kipindi cha kwanza kinaisha arsenal kasha ifunga goli tatu baada ya kipindi cha pii kuanza luis van gal amefanya mabadilko na kumuingiza ,MAROUNE FELLAIN akimtoa depay na damian kutolewa kaingia vakencia,, mabadiliko hayo yalichangamsha mchezo ambapo man u iliamka usingizini nakufnya mashambulizi huku wakitawala kipindi chote cha pili ila sub hizo hazikuleta matunda kwani hawakuweza kupata goli hata la kufutia machozi
katika msimo wa wa wa ligi sasa manchester city anaongoza akiwa na alama 18 akifuatiwa na arsenal akiwa na alama 16 sawa na manchester united mwenye alama 16 ..arsenal anafaida ya goli sita huku man u akiwa na faida ya goli 4 mabingwa wa ligi hiyo msimu uliopita wako katika nafai ya 16 chelsea
arsenal itaikabil watford katika ligi baada ya hapo ina kazi ngumu ya ligi ya mabingwa buyern munich katika msimamo wa kundi hilo lenye timu kama buyen munich ,olympiacos,dynamo zegreb na arsenal ,,huku msimamo ukiwa inashika mkia baada ya kufungwa mechi mbili za awali
No comments:
Post a Comment