jorgen klopp huyu ni kocha ambaye naye ali timuliwa virago msimu uliopita kutoka timu ya borrusia dotmund mara baada ya misimu miwili ya mafanikio
kloop ninani? jurgen klopp amezaliwa 16 june 1967, aliichezea mainz kwa miaka 12 baada ya hapo kawa manager wa timu , 2008 amejiunga na borrusia dotmund amabapo alichukua ubingwa wa bundesliga mara mbili mfululizo 2011 na 2012
amefunga jumla ya magoli 52 ambapo alicheza nafasi mbili tofauti aliwahi kucheza kama mshambuliaji kabla ya kurudi kuwa beki mwaka wa 1995
aliifundisha mainz kwa miaka 7 baada ya kustaafu rasm soka na ali jiudhuru kuifundisha timu hiyo mwaka 2007-2008 record zakealimaliza kushinda mechi 109 , draw78 , alipoteza 83
hakuwahi kufundisha nchi nyingine zaidi ya ujerumani na sasa ni manager wa liverpool ambapo amekubali mkataba wa mika mitatu kuifundisha.
Record | ||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|
timu | W | draw | ya kufungwa | ushindi % | Ref. | |||
Mainz 05 | 27 February 2001[2] | 30 June 2008[2] | 270 | 109 | 78 | 83 | 40.37 | [2] |
Borussia Dortmund | 1 July 2008[19] | 30 May 2015[15] | 318 | 179 | 69 | 70 | 56.29 | [19] |
Liverpool | 8 October 2015[21] | yupo sasa | 0 | 0 | 0 | 0 | — | |
jumla | 588 | 288 | 147 | 153 | 48.98 |
No comments:
Post a Comment