karibu

kwa habari moto moto

Friday, October 9, 2015

MWAROBAINI WA TANZANIA UMEPATIKANA (MAGUFULI VS LOWASA)


UCHAMBUZI WA SIASA 2015 TANZANIA

Siasa ni mfumo kamaili wa maisha ya mwanadamu duniani ,mahali ambapo siasa yake haiko sawa sawa nchi hiyo inatumbukia katika majanga mazito kiuchumi,amani,ujambazi na uhalifu mbali mbali katika nchi husikia, ndio manaa nika aanza kuitafsiri siasa maana yake halisi.

Tanzania ni nchi ambayo ina amani  ya vitendo  japo bado amani ya maisha haiko sawa kwa maana ya , wananchi wanaishi chini ya dola moja hii pia inatokana na siasa kwa maana ya vyama tawala kuna mahali bado hawaja paweka sawa ili wnanchi wapate fursa ya kupata ajira zilizo kuwa sahihi

leo hii swala zito liko katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakao fanyika  ocotba 25 ,kuna vitu vingi vime tokea ndani  yake , tumeona wanasaiasa wana hama kutoka chama hiki kwenda chama kingine ,,tumeona wana jiudhuru wengine kwa kukosana au kushindwa kuelewana kutokana na misimamo yao,

vyama vingine  vinaanzishwa na vina kuwa na nguvu mno mfano ACT-maendeleo chama cha mh zitto zuberi kabwe kimekuja juu sana na kuleta ushindani na kuonesha kuwa kimekuja kamili kinazidiwa na wabunge wa CCM tu maana wameweka wagombea ubunge karibuni kila mkoa
swali ni kwamba je hao wabunge walio wekwa wana kidhi vigezo vya kuwa wabunge?

 tuwaachie wananchi,,lakini pia ACT  kimenifurahisha kwakuwa kinatoa fursa kwa vijana kuna vijana wana umri mdogo nao wanaanza kupata uzoefu wa mikiki mki ya siasa kuna rafiki yangu DOTTO JOSEN BAHIMU yeye nae yuko na anagombea ubunge  ngara na sina shaka nae katika uongozi.

mjadala uliopo hapo na uhakika mkubwa uliopo na ushindani uliopo ni kati ya  DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI na EDWARD NGOYAI LOWASA hii ndio mechi kubwa ambayo tuna isubiri na ninao uhakika hawa ndio haswa ndio wagombea wenye mvuto na hisia kubwa kwa watanzania wote,, huku kuna timu HAPA KAZI TU huku kuna timu MABADILIKO,, wote hawa lengo lao ni moja tu la kuiongoza tanznaia na vilivyomo kwa maana ya rasilimali

,,mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko si maanishi mabadiliko ya kumchagua LOWASA hapana bali kuna  kitu nimekiona tena kizuri mno,, kwa jicho la kawaida huwzi kuona na  kujaribu kukata tamaa

kwa hawa wagombea wot wawili ninao uhakika mkubwa yoyote atakaye chukua madaraka  ataifikisha Taznaia katika level nyingine iwe timu hapa kazi tu au uwe timu mabadiliko ule mwarobaini wa kiongozi bora umepatikana nitakuja kueleza tena baada ya mwaka mmoja kupita.. maana kuna vitu tutaona vita badilika .. mimi nina imani na wote, wanae muita fisadi atataka kuonesha kuwa yeye kiongozi gani ili afute ile fikra mbovu  na wanae muita dikiteta naye anataka kuonesha kuwa  usimamizi bora unatakiwa uweje, viva magufuli viva lowasa

No comments:

Post a Comment