karibu

kwa habari moto moto

Friday, October 16, 2015

Mwenyekiti wa yanga africa akiomba kura

mwaka 2015 ni mwaka ambao una siasa za na muonekano mpya kabisa tunaona baadhi ya watu maarufu wakiomba wapewe ridhaa za kuongoza katika nyazifa mbali mbali zikianzia ujumbe wa nyumba kumi, uenyekiti hadi kufikia ubunge, japo hakuna nafasi ya uraisi kwa wasanii hao na watu wanao cipuki

15.10.2015 zikiwa zimebakia siku 10 uchaguzi mkuu kufanyika leo mwenye kiti wa klabu ya yanga africa  iliyo makao makuu yake jangwani kariakoo ameomba ridhaa kuwa diwani wa mbagala jijini dar es salaam




moja ya picha za yusuphu manji akiwa na kocha wa yanga wakati huo tom santifiet


No comments:

Post a Comment