hii si timu ya kubeza katika mashindano ya jayo yatakayo fanyika ufaransa mwakani na ina wachezaji wazuri , tuli watabiria makubwa katika mashindano yaliyo pita ila haikuwa kama tulivyo dhania kwa maana ya kiwango chao haikuwa vile tulivyo fikiria
kwanini naiita ubeligiji ya uingereza 85% ya wachezaji wanao chezea timu hiyo wanatoka ligi kuu ya uingereza ambapo kuanzia kipa hadi mbele wanachezaji wa uingereza, na wana majina makubwa sana sana nacho fikiria kwanini wana feli?
kwanini hawachezi vizuri? hayo maswali ni ya kujiuliza sana na tuajue .. mie nadhani tatizo sio kocha wala uongozi tatizo lipo kwa taifa wanalo chezea kelele zipo nyingi sana kwa maana ya wachezi hao taifa wanalochezea mpira kwa ngazi ya klabu
uingereza ni sehemu ilipo anzishwa soka ila kuna kelele za kuwapaisha wachezaji wao kwa lengo moja la kuteka soko la kimataifa nia yao kupiga pesa na hilo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana dunia nzima sasa ina penda timu za uingereza ,
wachezaji wenyewe wana jawa na sifa hadi kufikia kubweteka na sifa walizo nazo chombo kina cho haribu mpira wa nchi hiyo noi vyombo vya habari , huwezi kumuuza srerling pauni $49 huku kuna lewandowisk kama atakuja nchi hiyo hiyo bei haitofika,
sasa uvivu na kubweteka na sifa kwa nchi ya uingereza ndiyo inayo fanya wachezaji wa ubelgiji kufeli katika timu yao ya taifa, kuna vipaji vingi nchi hiyo, wakiacha sifa za kijinga watafika mbali sana ,, kwa maana ya kucheza kwa nidhamu na kutosikia sifa
hawa wafuatao ni wachezaji wa timu hiyo kwa sasa .
Goalkipa
Na. | jina | ||
---|---|---|---|
1 | Thibaut Courtois | ||
12 | Simon Mignolet | ||
13 | Sammy Bossut |
mabeki
Na. | jina | ||
---|---|---|---|
2 | Toby Alderweireld | ||
3 | Thomas Vermaelen | ||
4 | Vincent Kompany | ||
5 | Jan Vertonghen | ||
15 | Daniel Van Buyten | ||
18 | Nicolas Lombaerts | ||
21 | Anthony Vanden Borre | ||
23 | Laurent Ciman |
viungo
Na. | jina | ||
---|---|---|---|
6 | Axel Witsel | ||
7 | Kevin De Bruyne | ||
8 | Marouane Fellaini | ||
10 | Eden Hazard | ||
11 | Kevin Mirallas | ||
14 | Dries Mertens | ||
16 | Steven Defour | ||
19 | Mousa Dembélé | ||
20 | Adnan Januzaj | ||
22 | Nacer Chadli |
washambulaji
Na. | jina | ||
---|---|---|---|
9 | Romelu Lukaku | ||
17 | Divock Origi |
No comments:
Post a Comment