karibu

kwa habari moto moto

Saturday, October 24, 2015

LUIS VAN GAL aitabiria ushindi man city

meneja wa mancheester inited luis van gal ametanabaisha kuwa derby ya juma pili 25.10.2015  wapi nzani wake wana nafasi kubwa kushinda mechi hiyo

Louis van Gaal
 LUIS VAN GAL

City wameshinda sita kati ya debi nane zaidi za Manchester, kuanzia ushindi wao wa 6-1 walio upata mwaka 2011.

Lakini licha ya uhasama wa kinyumbani kati ya City na United, Van Gaal amesisitiza kwamba hataingiza hisia kwenye mechi hiyo ndipo timu yake iwe na nafasi nzuri ya kushinda debi ya pili mfululizo Old Trafford.

manchester city ndio inaongoza ligi hiyo ikifuatiwa na arsenal kwa uwiano mzuri wa magoli huku man u wakiwa watatu



No comments:

Post a Comment