juma nyoso ameonekana katika kombe na magufuli akicheza ndondo cup , juma nyoso alifungiwa kucheza na kujihusisha na mchezo wa mpira wa miguu kwa muda wa miaka miwili ambapo adhabu hiiyo imetolewa na chama cha soka tanzania tff baada ya kutenda vitendo visivyo vya kiungwana katika mchezo wa soka
Nyoso ali fanya vitendo viovu mara nne mara mbili hakionekana dhahiri mara mbili vimeonekana dhahiri ,, vilivyo onekna dhahiri kwa eliasi maguri na john boco
juma nyoso picahani juu
juma nyoso akiwa katika mashindano ya magufuli ambayo yameisha october 23 mwaka huu
CREDIT TO:shaffihdauda.com
No comments:
Post a Comment