Tanzania ni moja ya nchi inayo patikana pembezoni mwa bahari ya hindi ipo ndani ya bara la afrika na uzuri wake iko afrika mashariki ambapo mungu amepapendelea kila kitu, mali asili,vipaji,madini bahari na kila kitu, hapa tanzania pia kuna vitu vingi ambavyo kila kitu tumepewa pia,,
kuna mlima mrefu barani afrika na wanne duniani , kuna tanzanite haipatikani dunia nzima, kuna gesi inayopatikana mtwara kwa wingi, kuna vyura ambavyo havipo dunia nzima, kuna kila kitu, sitaki kuingia huko sana mada ya hivyo nilivyo elezea nitakuja kuvitolea ufafanuzi wake makala zijazo
leo hii nipo katika vipaji haswa vya muziki huu wa kizazi kipya ambao sasa una tunyanyua na Tanznaia kujulikana kimataifa kama kuna bongo flava japo ile rythim ya bongo flava haipo ila afadhali inajulikana kuwa kuna muziki huo na alie saidia kwa kiasi kikubwa kufikisha jahazi hilo bila ya kumumunya maneno ni DIMOND PLATNUMZ
Ay ni moja ya legendari wa muziki huu wa bongo flava hapa nchini tanzania , huyu kijana alikuwa katika kundi la EAST COAST TEAM ambalo liliongozwa na wakali kibao kama vile mwana fa,snare, ay,o ten ,buff g na kubwa la maadui KING CRAZY GK , ILIFANYA VIZURI SANA MIAKA ILE YA 2000s
kujituma siku zote ndiko kunako mfanya mtu kuweza kufanikiwa AY yeye ndiye muanzilishi wa collabo kwa wasanii wanje kwa maanaa ya kushirikishana na hao wasanii kuweza kujulikana tanzania hhatimae afrika kwa ujumla hapa ushahidi ninao kuna hawa SAUTI SOL wa kenya aliwashirikisha wimbo unaitwa i dint wana to be alone(shukuru) huu wimbo una hamasisha kumshukuru mungu kwa hali yoyote ile uliye nayo binadamu,, sauti sol sasa wanajulikana dunia nzima
ay alifanya mengi alianza na prezoo,mourice kirya,amani,avril,jose chamilion,jaguare, alpha, psquare, sean kingston,miss trinity ,ramya na romeo,, bado muziki wake mkubwa mno ila hiyo yote inapatikana kujituma na harakati za kutaka maendeleo, na wote alio washirikisha tume wafahamu bongo
ay hatuwezi kumsahau japo watu hawa mpi shout out zake kwa maana ya kumshukuru AY amesababisha collabo ya ommy dimpozy ft j martins, davido na dimond na collabo ushauri mwingine kwa wasanii wengine wengi wa kitanzania
kwanini ay pamoja na juhudi zake bado yuko kawaida nje ya mipaka ya taznaia japo, watanzania tuna jua umuhimu wake na jitihada zake,, kwanini aonekene wa kawaida
je na yeye management yake sio nzuri kama watu wanavyo lalamika kwa managementi ya alikiba? au kuna nini kinaendelea dhidi yake anafanya juhudi kubwa bado muziki wake wakawaida? siku moja nikawa naongea na rafiki yangu PAMELA FELIX yeye akasema kuwa ay muziki wake haja lenga soko la tanzania je hii ni kweli? wote tuna jiuliza hapa ila mimi nime muelewa kitu gani alicho lenga alitoa mifano mingi sana akawalinganisha akina dimond muziki wao, akawaweka akina alikiba, ommy dimpozy na maelezo yake nime yaelewa ila sitaki kufika huko sana leo tujiulize na ntie wasomaji ,, ay ni superstar mpiganaji,
na kama ni management kwanini halishughulikii swala hili mbona anaweza sana? vipi kuhusu video zake zipo katika quality hilo halina shaka, ule wimbo alio mshirikisha sean kingston video nzuri nyimbo nzuri kwanini haukuwa kama vile tulivyo taka
ay huwa ni muelewa sana nahiisi akiisoma hii itamsaidia kuweza kujua kwanini nje hawampi heshima yake hali ya kuwa anafanya juhudi kubwa na tuna muelewa haswa hapa afrika mashariki ay ashafahamika kwanini nje ya hapo bado

ambwene yesaya ay akiwa marekani akishoot video yake na sean kingston
amefanya collabo na p square mwaka 2008 freezy ilikuwa bonge ya ngoma lakini haija fika mbali kwanini ay....???????? kuna kitu gani au ndio tuamini pia bahati nayo inachangia miongoni mwa wasanii wa afrika mashariki wenye channel nyingi ni ay na anatengeneza channel nyingi sana kwa wasanii wenzake kwanini asitusue
kutusua ninako zungunzia hapa sio kimaisha ,, maisha binafsi sina shaka nae kasha tusua ila maisha ya muziki nje ya nchi je jitihada anazo fanya na feedback.. mrejesho kwa audience sawa na jitihada majibu hapana,, tunaomba mungu ay kwa jitihada zake aende mabali zaidi ya hapa,, ana jitoa anajituma anafanya mziki mzuri,,
kuna nyimbo ina itwa ahsante sikudhani kama itakufa mapema ,, kila kitu kimo katika nyimbo ile lakini kwanini haikutusua hilo swali hilo tumuulize wenyewe au unaweza kucomment ili tumpe majibu

ay akiwa na sean kingston marekani
pia unawezakunitafuta kupitia 0763315006 au 0717 519981
No comments:
Post a Comment