karibu

kwa habari moto moto

Monday, October 19, 2015

KISWAHILI KINA STAHILI KUWA NAMBA 5

Habari tukiwa tuko katika homa ya uchaguzi siku sita zijazo, leo hii tupo katika lugha yetu adhimu ya kiswahili, kiswahili hiki kina sifa kubwa ulimwenguni, na kina wazunguzaji wengi wa lugha hii ya kiswahili,, tunajivunia nacho kwa kweli lugha hii inapatikana afrika mashariki , haswa wazunguzaji wake wengi ni watanzania

lugha ya kiswahili ina kadiriwa kuzungunzwa na mataifa takribani 120 duniani kote,, ili fika mahaliilitakiwa lugha ya kiswahili ndio iwe lugha rasmi ya mawasiliano barani afrika,

taunzie hapa,, kiswahili ni nini? kiswahili ni muuganiko wa lugha mbali ikiwemo kiarabu hapa tumekopa maneno mengi sana na inasadikiwa kuwa kiarabu ndio muasisi wa lugha hii ya kiswahili katika karne ya 16,, na wao ndie walie tohoa neno hili kutokana na sisis kushindwa kusema SAHEL, mana yake pwani na sisi tukaunganisha na kusema kiswahili na hiatoria nyingi ya lugha hii ya kiswahili, kwa maneno mbali mbali

ilivyo sasa lugha ya kwanza duniani ni 1.english(kingereza) 2.arabic(kiarabu) 3.france(kifaransa) 4.spanish(kihispania) 5.portigal(kireno) 6.swahili(kiswahili) naishia hapa katika sita maana ndio maada kuu ...

kwa mtazamo wangu kiswahili sasa kina stahili kuwa angalau hata namba nne au tano,, maana kireno tukiangalia bara la afrika wanao zungunza ni wachache mno..haswa angola,msumbiji hizi ndio haswa kwa africa wazunguzaji lakini kiswahili tukianzia  afrika mashariki ,, nchi zote za ukanda huu zina zungunza,,

pia afrika magharibu nazo sasa zipo katika changamoto ya kujifunza lugha hii japo kule tumegawana na  france pia kadhalika kaskazin nao wanajifunza ,, lugha hii ni kivutio kikubwa duniaani kwa maana ya maneno yake rahisi kueleweka na kuya zungunza,,

kuna taasisi nyingi zina fuatilia kwa karibu kiswahili,, nchi zote kubwa duniani zina taasisi ya uzungunzaji kiswahili mataifa hayo.. ni amerika,, ulaya na mashariki ya mbali

amerika -kuna sauti ya amerika, wakati uingereza kuna BBC SWAHILI kina salim kikeke na zuhura yunusi,,peter musombi na wengine walio ondoka charles hillary,, kasim kayra ,, ujerumani kuna dutch well akina umir kheri ..nao supersport wana kipindi  kinaitwa mchaka mchaka kinazungunzwa kiswahili hapo

uturuki kuna sauti ya kiswahili trt ,, kwa kuangalia hapo lugha ya kiswahili inasikilizwa mataifa mengi duniani,,, naamini kwa kila siku dunia nzima inasikiliza kiswahili kwa kupitia media mbali mbali ambazo nimeziorodhesha

kwanini lugha yetu isipande

kipi kina inagesha kiswahili ... hii lugha ina maneno mengi na ina kadiriwa kila mwaka kuna maneno mapya yanatokea mengine yana ende mengine  yana hifadhiwa kwa matumizi,, kitendo hiki tuna kita misimu.. mfamo miongoni mwa misemo hiyo,, kudadeki,,,, utajiju,,buzi,, 

kwanini tusiipende lugha yetu na kuifanya iwe rahisi kupenya duniani kote... na iwe hata ya kwanza au yapili,, kuna nchi ina lugha zaidi ya moja kwa maana haina official lugha ( lugha maalumu) kila kaya ina lugha yake lakini Tanzania tuna lugha moja ambayo inatumika nchi nzima,,,

                                                       
mwandshi wa makala AMINI NYAUNGO hii akiwa na ZUHURA YUNUSI wa bbc    
 MAWASILIANI:0717 519981 AU 0763 315006      



No comments:

Post a Comment