karibu

kwa habari moto moto

Monday, October 12, 2015

epl news: manchester united wafurahia majeruhi ya manchester city

idadi ya walio umia ligi kuu  ya uingereza katika michuano ya kutafuta kufuzu michuano ya ulaya itakayo fanyika ufanansa mwakani yazidi kuongezeka tukio hili pia lina wapa nafuu mashabiki wa Manchester united kuona washambuliaji kadhaa wa  jirani zao Manchester city kuumia, mmoja wao ni kun Sergio aguero ifuatayo ni idadi kamili ya wachezaji na timu zao timu

Arsenal
Thomas rosicky,dany welbeck hawa wana mda mrefu kukaa nje kwa kuumia viazi vya miguu wakati Laurent koscielny,mikel arteta na metheu flaming wnategemewa kurudi wekkend

BOURNEMOUTH
Callum wilson

Chelsea
Thibaut courtois week sita,blanislav ivanovic misuli na nemanja matic pia misuli

Crystal palace
Mile jedinak anatarajiwa kurudi

Leicester city
Mathew james

Everton
Leighton naines,tony hibbert na steven pienaar hadi novermber

liverpool
dejan lovren atakosa uchaguzi wa klopp wakati Roberto firmino na Jordan Henderson wanabaki kuwa katika mstari mwekundi wanaweza kurudi au wasirudi weekend hii

Manchester united
Luke shaw wakati wayne rooney,Michael carrick, bastian schweinsteiger ,ander herera na marcos rojo wana tarajiwa kurudi weekend hii

Manchester city
Sergio aguero hadi novermber wakati david silva nae wiki tatu nje  ya uwanja

Hizo ni baadhi ya timu za uingereza ambazo zime athirika na kuumia wachezaji wake  wakati wa mashindano ya kugombania kufuzu  mataifa ya ulaya 2016

No comments:

Post a Comment