karibu

kwa habari moto moto

Saturday, October 10, 2015

movie ya blatter na platin yanza upya

Lile sakata la kukata rufaa baada ya sepp blatter na washiriki wake juzi kuomba kukata rufaa, naye Michael platin ameomba rufaa kwa adhabu aliyo pewa ya kupisha uchunguzi kwa miezi sita

Joseph sepp blatter na Michael platin walifungiwa kupisha uchunguzi baada ya kukutwa na hatia ya  pesa ambazo ziliwekwa account binafsi ya platin badala kufika katika account ya shirikisho , hayo wameyafanya kati ya blatter na platin hivyo ,wamepishwa kuchunguza sakata hilo
Wiki hii blatter ali leta barua ya kuomba rufaa shauri lake lisikilizwe ili uchunguzi huo na tuhuma hizo zisiendelee nae mshirika wake platin amekuja siku moja baadae kukata rufaa

Wakati huo huo mashindano ya kufuzu mikiki mikiki ya ulaya imefanikisha timu ngeni kutinga fainali hizo zitakazo fanyika ufanasa , irend ya kaskazini nayo imefuzu mashindano hayo kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi kupita wakati ureno tumezoea kupita kwa taabu mwaka huu imeingia mapema kabla makundi hayajaisha, nayo uingereza imeingia mashindano hayo ,,hwa huwa wanaingia ila kupenya katika mashindano yenyewe ndio taabu

Wachezaji wa arsenal wanaonekana wako katika form mara baada ya washambuliaji wake kutia kamba karibuni kila mechi, sanchez aliifungia chile wakati brazili ikifungwa goli mbili bila,, huku Santiago cazorla naye amefunga goli mbili, wakati theodor walcot akifunga goli moja katika ushindi wag li mbili bila ya majibu

Fabrigas ameweka record ya kutoa usaidizi mwingi katika timu ya taifa ya Hispania na kuwashinda iniesta ,,xavi

No comments:

Post a Comment