karibu

kwa habari moto moto

Monday, October 12, 2015

HALIMA MDEE AHUBIRI AMANI UCHAGUZI MKUU 2015 TANZNAIA

Halima mdee wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)  amewaomba mania watanznaia wote katika ucchaguzi mkuu ujao akizungunza katika kipindi cha amplifaya cha milard ayo kupitia clouds fm ,mdee amesema Amani ya tanznaia ina jengwa na mtanznaia mwenyewe hivyo hatuna budi kugombana au kuhatarisha Amani tuliye nayo , mdee pia ame waomba idara husika za ulinzi na usalama  kulisimamia jambo hilo kwa ukamilifu

Halima mdee ni mbunge wa KAWE jijini dar es salaam kupitia chedeema aliongeza kuwa sisitiza wanacnhi kuwa hali ya kudharauliana baina ya jinsia sio sahihi kwani, katika wanawake wanao ambiwa dhaifu pia wapo wanawake walio kuwa kamili hali kadhalika pia kuna  wanaume dhaifu na kinyume chake kuna wanawaume walio kamili, hivyo tuwe na upendo na tupeane haki kwa kila mtu na stahiki zake

Mdee ameongezea kwa kuwa omba wanawake wote kupitia vyama vyote kujitahidi kuziba nafasi mbali mbali za uongozi amemalizia kwa kusema wanawake wote kupitia chama chochote wako sawa na lugha yao ni moja  ya  muungano kwa wanawake wote na kwa Tanzania kwa ujumla

Wakati zikiwa zimebakia siku 12 kufikia uchaguzi mkuu wa awamu ya tano. Viongozi mbali mbali wana malizia kampeni zao katika majimbo tofaut kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza Tanzania kipindi cha miaka 5

No comments:

Post a Comment