karibu

kwa habari moto moto

Friday, October 16, 2015

Antony Martial aanza checheze epl

mchezaji kinda wa manchester united raia wa ufanansa ame chukua tuzo ya uchezaji bora wa mwezi september mara baada ya kufunga na kufanya vizuri kila mechi alizo cheza msimu huu tangu asajiliwe, kinda huyo mwenye miaka 19 ,alisajiliwa na manchester united msimu huu kwa dau la $36

Martial ameichezea monaco msimu uliopita amepataa umaruufu zaidi pindi timu hiyo ilipo kuja kucheza na arsenal klabu bingwa ulaya, aliisumbuangome ya arsenal na kufanya vizuri nchini monaco pia kumemuongezea thamani  kinda huyo,

chelsea walimfuatilia na wametoa ofa ya kuizidi manchester united mchezaj huyo amekataa kujiunga darajani ili atimize ndoto yake ya kutua manchester united, ambapo wamempa jezi namba 9 iliyo wahi kuvaliwa na  rud van nestroy

kocha maricio puchettino kwa upande wake ame chukua maneja bora wa mwezi huu
Issa Maeda's photo.

picha ya antony martial akipokea zawadi yake

No comments:

Post a Comment