Kocha wa timu ya mabingwa wa tanzania dar young africans ahofia zamaleki katika mchezo wa klabu bingwa afrika utakao fanyika wiki hii
akizungumnza hayo na waandishi wa habari wakati akifanya mazoezi na timu hiyo na kusema kuwa timu hiyo ipo katika wakati mgum wa mazoezi kwani maandalizi yake si ya kufurahisha
hivyo kocho huyo amewataka wachezaji wake kujiandaa vizuri na mchezo huo
No comments:
Post a Comment