karibu

kwa habari moto moto

Friday, October 30, 2015

Magufuli ndiye raisi wa awamu ya tano wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

dockta john pombe magufuli ndiye raisi wa awamu ya tano ya jamhuri ya muungano wa tanznaia, hii baada ya kuchaguliwa kwa ushindi mkubwa kura milion nane  sawa na 58.46% alio upata dhidi ya mgombea mwenza kutoka chadema edward lowasa alie pata milion  sita sawa na 39%


                                      mh docta john pombe magufuli

katika uchaguzi huo ana mghirwa amekuwa mshindi namba tatu mara baada ya kupata kura elf 92,waangalizi wa kimataifa wameisifu Tanznaia kwa uchaguzi wa amani na kufuata taratibu
                                               
moja ya picha za mheshimiwa john  pombe magufuli akiwa kijana, mgombea mwenza samia suluhu ndiye atakuwa makamu



samia suluhu akiwa katika kampeni

Monday, October 26, 2015

alikiba vs christian bella kutoa video mpya nagharamia

alikiba aanza kufanya video yake ya nagharamia leo alie imba na christian bella katika instagram ameonaekana ameweka picha wakiwa safarini


alikiba na christian bela wakiwa south africa kuandaa video  yao ya nagharamia

NYOSO ONEKANA UWANJANI

juma nyoso ameonekana katika kombe na magufuli akicheza ndondo cup , juma nyoso alifungiwa kucheza na kujihusisha  na mchezo wa mpira wa miguu kwa muda wa miaka miwili ambapo adhabu hiiyo imetolewa na chama cha soka tanzania tff baada ya kutenda vitendo visivyo vya kiungwana katika mchezo wa soka
Nyoso ali fanya vitendo viovu mara nne mara mbili hakionekana dhahiri mara mbili vimeonekana dhahiri ,, vilivyo onekna dhahiri kwa eliasi maguri na john boco


juma nyoso picahani juu

juma nyoso akiwa katika mashindano ya magufuli ambayo yameisha october 23 mwaka huu

CREDIT TO:shaffihdauda.com

arsenal yapigwa faini chama cha soka uingerza


arsenal imepigwa faini ya  pound 60,000 na imepewa onyo zito  baada ya kuvunja sheria ya usajili iliyo wekwa na chama hca soka uingereza, hii imetokana na uhamisho wa kinda alie toka southampton 26, july 2014 
calm chambers wa arsenal

chma hiko kimesema arsenal haikufuata taratibu katika usajili huo wa beki , arsenal ilitoa paundi 12 kama ada ya usajili kwa mchezaji huyu raia wa uingereza

justine beiber ashinda tunzo 5 mtv ema



TV EMAS 2015 - FULL LIST:
Best Song: Taylor Swift ft. Kendrick Lamar, “Bad Blood”
Best Pop: One Direction
Best Female: Rihanna
Best Male: Justin Bieber
Best Live Act: Ed Sheeran
Best New Act: Shawn Mendes
Best Video: Macklemore and Ryan Lewis, “Downtown”
Best Rock: Coldplay
Best Alternative: Lana Del Rey
Best Hip Hop: Nicki Minaj
Best Electronic: Martin Garrix
Best Push: Shawn Mendes
Best Collaboration: Justin Bieber, Skrillex & Diplo, “Where Are You Now?”
Biggest Fans: Justin Bieber
Best Look: Justin Bieber
Best World Stage: Ed Sheeran
Video Visionary Award: Duran Duran
Worldwide Act, North America: Canada/Justin Bieber
Worldwide Act, Latin America: Brazil/Anitta
Worldwide Act, Europe: Italy/Marco Mengoni
Worldwide Act, Africa/India: Africa/Diamond Platnumz
Worldwide Act, Asia: China/Jane Zhang
Worldwide Act, Australia/New Zealand: Australia/5 Seconds of Summer

moja ya picha zake justine

Sunday, October 25, 2015

DIMOND PLATNUMZ ASHINDA MTV EMA

dimond platnumz ameshinda tuzo ya mtv ema mabyo alikuwa akishindana na mrembo kutoka india
dimond ndiye msanii wa kwanza kutOka AFRIKA na afrika mashariki kushinda tuzo hiyo kubwa duniani, ushindi huo ni mkubwa kwa dimond kwani alikuwa anaiwakilisha afrika nzima

diamond ema
dimond platnumz kiwa na ushindi wake wa mtv ema

dimond amewashukuru wa afrika wote kwa kumuwezesha kushinda tuzo hiyo,

arsenal yakaa kileleni msimamo wa ligi kuu epl kwa muda

arsenal imeifunga everton katika uwanja wake wa nyumbani wa emirate 2 goli la kwanza la mchezo huo lili fungwa na olvier giroud akipokea pasi nzuri kutoka kwa mesut ozil mzee wa google kama wanavyo muita wapenzi wa timu hiyo


hector bellerin na mesut ozil wakimpongeza olvier giroud baada ya kufunga goli la kwanza

katika mchezo huo ozil kafikisha assist(usaidzi) saba na kachangia ugfungaji wa magoli wa arsenal kila ushindi wa timu hiyo msimu huu

msimomo wa ligi hiyo kabla ya mechi za juma pili
(mchezo)(alioshinda)(sare) (aliyopoteza)(utofauti wa magoli)(alama)
Arsenal107121022
Man City97021621
West Ham10622920
Man Utd9612719
Leicester10541319
Crystal Palace10505115
Spurs9351414
West Brom10424-314
Southampton9342313
Everton10343013
Swansea10343013
Liverpool9342-213
Watford10343-213
Stoke10334-312
Chelsea10325-411
Norwich10235-79
Bournemouth9225-68
Newcastle9135-76
Aston Villa10118-84
Sunderland9036-113

utovu wa nidham waigharimu chelsea

chelsea imepata kichapo kingine kutoka kwa west ham united 2-1 nemanja matic alipata kadi nyekundu ,katika mchezo huo wachezaji wengine watano wa timu hiyo wamepata kadi za njano, huku manager wa timu hiyo jose mourinho akitolewa katika benchi la ufundi baada ya kukiuka masharti ya mchezo huo,
Mauro Zarate aliweka West Ham mbele dakika ya 17 baada ya Chelsea kushindwa kujilinda vyema wakati wa kupigwa kwa kona.


carrol akifunga bao katika mchezo huo

Gary Cahill alisawazisha dakika ya 56 lakini Carroll aliyeingia kama nguvu mpya alifikia krosi ya Aaron Cresswell na kufunga kwa kichwa dakika ya 79
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho alikataa kuzungumza na wanahabari  baada ya kichapo hicho

Saturday, October 24, 2015

Makamu wa rais wa Maldives akamatwa

Makamu wa rais wa Maldives amekamatwa kuhusiana na jaribio la kumuua rais wa taifa hilo, waziri wa masuala ya ndani nchini humo amesema.
Ahmed Adeeb anazuiliwa na karibuni atashtakiwa kwa uhaini, Umar Naseer amesema kupitia Twitter
Rais Abdulla Yameen alinusurika kifo baada ya boti aliyokuwa akitumia kusafiri hadi mji mkuu akitoka kuhiji Mecca mwezi jana kulipuliwa.
Misukosuko ya kisiasa imekuwa ikiyumbisha Maldives miaka ya hivi majuzi.
Mzozo ulizuka baada ya Yameen kushinda uchaguzi, wapinzani wakisema kulikuwa na udanganyifu.
AdeebImage copyrightAFP
Image caption Adeeb amekamatwa baada ya kuwasili uwanja wa ndege
Maafisa wakuu wa polisi walifutwa kazi kutokana na uchunguzi wa mlipuko huo, wiki moja baada ya rais huyo kumfuta kazi waziri wake wa ulinzi.
Polisi wamethibitisha kwamba walimkamata Bw Adeeb akiwa uwanja wa ndege baada yake kurejea kutoka safari ng’ambo.
Bw Yameen hakuumia kwenye shambulio hilo la Septemba 28, lakini mkewe, msaidizi mmoja na mlinzi walijeruhiwa.


credit :bbc swahili
chanzo: bbc swahili

LUIS VAN GAL aitabiria ushindi man city

meneja wa mancheester inited luis van gal ametanabaisha kuwa derby ya juma pili 25.10.2015  wapi nzani wake wana nafasi kubwa kushinda mechi hiyo

Louis van Gaal
 LUIS VAN GAL

City wameshinda sita kati ya debi nane zaidi za Manchester, kuanzia ushindi wao wa 6-1 walio upata mwaka 2011.

Lakini licha ya uhasama wa kinyumbani kati ya City na United, Van Gaal amesisitiza kwamba hataingiza hisia kwenye mechi hiyo ndipo timu yake iwe na nafasi nzuri ya kushinda debi ya pili mfululizo Old Trafford.

manchester city ndio inaongoza ligi hiyo ikifuatiwa na arsenal kwa uwiano mzuri wa magoli huku man u wakiwa watatu



tunisia na moroco zafuzu chan

Morocco wameifunga Libya 4-0 katika  kufuzu kwa fainali za Kombe la Mabingwa wa Afrika kwa wachezaji wanaochezea barani (CHAN) za mwaka 2016 ambazo zitachezewa nchini Rwanda mwaka ujao.
Libya walihitaji kushinda mechi hiyo iliyochezwa Alhamisi ndipo wafuzu baada yao kushindwa 1-0 na Tunisia Jumatatu.
Morocco wanaongoza ligi hiyo ndogo ya timu tatu wakiwa na alama saba, Tunisia wakiwa wa pili na alama nne. Libya wanashika mkia na alama mbili.
Tunisia na Morocco zitakutaka kwenye mechi ya mwisho ya kanda hiyo Jumapili, Tunisia wakiwa nyumbani Rades.
Mabao ya Morocco dhidi ya Libya yalifungwa na Abdessalam Ben Jelloun, Abdessalad Lmobarakay, Rachid Housni na Mohammed Onajem.

Friday, October 23, 2015

ronaldo na mesi tena katika kinyang`anyiro cha mwanasoka bora

YUPO YAYA TOURE

Wachezaji watatu wa Manchester City Sergio Aguero, Kevin De Bruyne na Yaya Toure ni miongoni wa wachezaji 23 walioorodheshwa kushindania tuzo ya Ballon d'Or.
Kiungo wa Chelsea Eden Hazard na mshambuliaji wa Arsenal Alexis Sanchez pia wamo kwenye orodha hiyo ya kuteua mchezaji bora wa mwaka duniani.
Tuzo hiyo ya Ballon d'Or kwa sasa inashikiliwa na Cristiano Ronaldo wa Real Madrid ambaye pamoja na Lionel Messi wa Barcelona, wamekuwa wakishinda tuzo hiyo kwa miaka saba iliyopita. Wawili hao bado wamo kinyang’anyironi mwaka huu.
Mshambuliaji wa Real Madrid kutoka Wales Gareth Bale ndiye mchezaji Mwingereza pekee aliyetajwa kwenye orodha hiyo.
Meneja wa Chelsea Jose Mourinho na mwenzake wa Arsenal Arsene Wenger nao wamo kwenye orodha ya wakufunzi 10 watakaopigania tuzo ya Kocha Bora wa Mwaka.
Watamenyana na meneja wa Barcelona Luis Enrique na kocha wa Bayern Munich Pep Guardiola.
Katika orodha hiyo, La Liga ya Uhispania inaongoza kwa kuwa na wachezaji 11, nayo Bundesliga ya Ujerumani ina wachezaji sita. Serie A ya Italia ina wachezaji wawili.
Ufaransa inawakilishwa na mchezaji mmoja pekee, kigogo wa Paris St-Germain Zlatan Ibrahimovic.
  1. Sergio Aguero (Argentina/Manchester City)
  2. Gareth Bale (Wales/Real Madrid)
  3. Karim Benzema (France/Real Madrid)
  4. Cristiano Ronaldo (Portugal/Real Madrid)
  5. Kevin De Bruyne (Belgium/VfL Wolfsburg/Manchester City)
  6. Eden Hazard (Belgium/Chelsea)
  7. Zlatan Ibrahimovic (Sweden/Paris Saint-Germain)
  8. Andres Iniesta (Spain/FC Barcelona)
  9. Toni Kroos (Germany/Real Madrid)
  10. Robert Lewandowski (Poland/FC Bayern Munich)
  11. Javier Mascherano (Argentina/FC Barcelona)
  12. Lionel Messi (Argentina/FC Barcelona)
  13. Thomas Muller (Germany/FC Bayern Munich)
  14. Manuel Neuer (Germany/FC Bayern Munich)
  15. Neymar (Brazil/FC Barcelona)
  16. Paul Pogba (France/Juventus)
  17. Ivan Rakitic (Croatia/FC Barcelona)
  18. Arjen Robben (Netherlands/FC Bayern Munich)
  19. James Rodriguez (Colombia/Real Madrid)
  20. Alexis Sanchez (Chile/Arsenal)
  21. Luis Suarez (Uruguay/FC Barcelona)
  22. Yaya Toure (Côte d'Ivoire/Manchester City)
  23. Arturo Vidal (Chile/Juventus/FC Bayern Munich)
SOURCE:BBC SWAHILI

baada ya ushindi dhidi ya buyern munich jumamosi arsenal na everton

baada ya arsenal kufanya vizuti mechi tatu mfululizo, jumosi hii itakutana ma everton saa 19:30 usiku, arsenal ilianza taratibu msimu huu baada ya kufungwa mechi ya ufunguzi na west ham united 2-0 katika dimba la emirate, wakati huo kiungo mkabaji wa timu hiyo Aaron ramsey kaumia misuli katika pambano la uefa dhidi ya buyern munchen ambapo arsenal imeshinda bao 2-o, oliever giroud na mesut ozil

arsenal ina hitajika ishinde mechi zake zote zilizo salia ili ipite 16 bora

The striker celebrates as the ball hits the back of the net

olivier giroud akiweka goli la kawanza dhidi ya buyern munich

ratiba ya wiki hii epl
Jumamosi 24 Oktoba 2015 Aston Villa v Swansea 15:00 Leicester v Crystal Palace 15:00 Norwich v West Brom 15:00 Stoke v Watford 15:00 West Ham v Chelsea 15:00 Arsenal v Everton 17:30
Jumamosi 25 Oktoba 2015 Sunderland v Newcastle 12:00 Bournemouth v Tottenham 14:05 Man Utd v Man City 14:05 Liverpool v Southampton 16:15

ajali

Watu 40 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki baada ya basi lao kugongana na lori katika barabara moja kusini magharibi mwa Ufaransa.
Ajali hiyo imetokea karibu na Puisseguin eneo la Gironde mashariki mwa Bordeaux, muda mfupi baada ya basi hilo kuanza safari kutoka mji ulio karibu.
Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameandika kwenye Twitter kwamba serikali “imechukua hatua zote kushughulikia mkasa huo mbaya”.
Mkasa huo ndio mbaya zaidi kutokea barabarani Ufaransa tangu ajali iliyoua watu 52 mwaka 1982.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ufaransa, ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa 07:30 saa za huko karibu na kijiji cha Puisseguin.
Magari yote mawili yaliwaka moto baada ya kugongana.
Abiria 41 walikuwa kwenye basi. Dereva wa lori alifariki. Ni watu wanane pekee walionusurika, watano wakiwa na majeraha.
Wengi wa waliokuwa kwenye basi hilo walitoka chama cha wazee kilicho katika mji wa Petit-Palais-et-Cornemps.
Ajali Ufaransa
 
Ajali hiyo imetokea kusini magharibi mwa Ufaransa
Watu 40 waliokuwa wakienda kutalii wamefariki baada ya basi lao kugongana na lori katika barabara moja kusini magharibi mwa Ufaransa.
Ajali hiyo imetokea karibu na Puisseguin eneo la Gironde mashariki mwa Bordeaux, muda mfupi baada ya basi hilo kuanza safari kutoka mji ulio karibu.
Rais wa Ufaransa Francois Hollande ameandika kwenye Twitter kwamba serikali “imechukua hatua zote kushughulikia mkasa huo mbaya”.
Mkasa huo ndio mbaya zaidi kutokea barabarani Ufaransa tangu ajali iliyoua watu 52 mwaka 1982.
Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Ufaransa, ajali hiyo ilitokea mwendo wa saa 07:30 saa za huko karibu na kijiji cha Puisseguin.
Magari yote mawili yaliwaka moto baada ya kugongana.
Abiria 41 walikuwa kwenye basi. Dereva wa lori alifariki. Ni watu wanane pekee walionusurika, watano wakiwa na majeraha.
Wengi wa waliokuwa kwenye basi hilo walitoka chama cha wazee kilicho katika mji wa Petit-Palais-et-Cornemps.

chanzo: bbc

uefa kuishtaki dynamo kiev

Shirikisho la Soka barani Ulaya Uefa, limefungua kesi ya kinidhamu dhidi ya klabu ya Dynamo Kiev kutokana na vurugu zilizofanywa na mashabiki wake na mambo ya kibaguzi katika mchezo wa Ligi ya mabingwa Ulaya dhidi ya Chelsea. Katika taarifa yake Uefa imesema itaanza kusikiliza kesi hiyo Octoba 27 mwaka huu. Hiyo sio mara ya kwanza kwa mashabiki wa timu hiyo kuingia matatani kwani katika msimu uliopita Dynamo walitozwa faini ya kufungiwa upande mmoja wa uwanja kwa makosa mawili mojawapo likiwa vurugu na lingine ubaguzi katika mchezo wa michuano ya Europa League.

diego costa akiwatoka beki wa dynomo kiev
source: bbc swahili

Monday, October 19, 2015

KISWAHILI KINA STAHILI KUWA NAMBA 5

Habari tukiwa tuko katika homa ya uchaguzi siku sita zijazo, leo hii tupo katika lugha yetu adhimu ya kiswahili, kiswahili hiki kina sifa kubwa ulimwenguni, na kina wazunguzaji wengi wa lugha hii ya kiswahili,, tunajivunia nacho kwa kweli lugha hii inapatikana afrika mashariki , haswa wazunguzaji wake wengi ni watanzania

lugha ya kiswahili ina kadiriwa kuzungunzwa na mataifa takribani 120 duniani kote,, ili fika mahaliilitakiwa lugha ya kiswahili ndio iwe lugha rasmi ya mawasiliano barani afrika,

taunzie hapa,, kiswahili ni nini? kiswahili ni muuganiko wa lugha mbali ikiwemo kiarabu hapa tumekopa maneno mengi sana na inasadikiwa kuwa kiarabu ndio muasisi wa lugha hii ya kiswahili katika karne ya 16,, na wao ndie walie tohoa neno hili kutokana na sisis kushindwa kusema SAHEL, mana yake pwani na sisi tukaunganisha na kusema kiswahili na hiatoria nyingi ya lugha hii ya kiswahili, kwa maneno mbali mbali

ilivyo sasa lugha ya kwanza duniani ni 1.english(kingereza) 2.arabic(kiarabu) 3.france(kifaransa) 4.spanish(kihispania) 5.portigal(kireno) 6.swahili(kiswahili) naishia hapa katika sita maana ndio maada kuu ...

kwa mtazamo wangu kiswahili sasa kina stahili kuwa angalau hata namba nne au tano,, maana kireno tukiangalia bara la afrika wanao zungunza ni wachache mno..haswa angola,msumbiji hizi ndio haswa kwa africa wazunguzaji lakini kiswahili tukianzia  afrika mashariki ,, nchi zote za ukanda huu zina zungunza,,

pia afrika magharibu nazo sasa zipo katika changamoto ya kujifunza lugha hii japo kule tumegawana na  france pia kadhalika kaskazin nao wanajifunza ,, lugha hii ni kivutio kikubwa duniaani kwa maana ya maneno yake rahisi kueleweka na kuya zungunza,,

kuna taasisi nyingi zina fuatilia kwa karibu kiswahili,, nchi zote kubwa duniani zina taasisi ya uzungunzaji kiswahili mataifa hayo.. ni amerika,, ulaya na mashariki ya mbali

amerika -kuna sauti ya amerika, wakati uingereza kuna BBC SWAHILI kina salim kikeke na zuhura yunusi,,peter musombi na wengine walio ondoka charles hillary,, kasim kayra ,, ujerumani kuna dutch well akina umir kheri ..nao supersport wana kipindi  kinaitwa mchaka mchaka kinazungunzwa kiswahili hapo

uturuki kuna sauti ya kiswahili trt ,, kwa kuangalia hapo lugha ya kiswahili inasikilizwa mataifa mengi duniani,,, naamini kwa kila siku dunia nzima inasikiliza kiswahili kwa kupitia media mbali mbali ambazo nimeziorodhesha

kwanini lugha yetu isipande

kipi kina inagesha kiswahili ... hii lugha ina maneno mengi na ina kadiriwa kila mwaka kuna maneno mapya yanatokea mengine yana ende mengine  yana hifadhiwa kwa matumizi,, kitendo hiki tuna kita misimu.. mfamo miongoni mwa misemo hiyo,, kudadeki,,,, utajiju,,buzi,, 

kwanini tusiipende lugha yetu na kuifanya iwe rahisi kupenya duniani kote... na iwe hata ya kwanza au yapili,, kuna nchi ina lugha zaidi ya moja kwa maana haina official lugha ( lugha maalumu) kila kaya ina lugha yake lakini Tanzania tuna lugha moja ambayo inatumika nchi nzima,,,

                                                       
mwandshi wa makala AMINI NYAUNGO hii akiwa na ZUHURA YUNUSI wa bbc    
 MAWASILIANI:0717 519981 AU 0763 315006      



Sunday, October 18, 2015

will smith kuachia ngoma mpya mwezi huu

will smith ata release  ngoma yake mpya mwezi huu amaba utakuwa wa miondoko ya kufoka foka baada ya kuwa nje ya uwanja miaka kumi(10) aki deal na filamu, pia msanii huyu ameshatoa video mpya ya fiesta 
will smith  pichani juu
msanii huyo ndiye msanii alie lipwa zaidi duniani kwa mwaka huu wa 2015
Jaden Smith na Willow Smith. hawa ni watoto wa will smith wote wasanii jarden mwanamuziki pia actor na willow yeye mwanamuziki wa kufoka foka pia na kuimba


EPL: Watford 0-3 Arsenal: Ozil balaa Arsenal ilicheza vizuri hasa kipindi cha pili na kufanikiwa kuiibuka na ushindi wa mabao 3-0 ugenini dhidi ya Watford na kukamata nafasi ya pili kwenye msimamo wa Premier League. Alexis Sanchez 

sanchez

alifungua karamu ya mabao baada ya mapumziko baada ya Mesut Ozil kufanyiwa madhambi.  Olivier Giroud akafunga bao la pili, kabla ya Aaron Ramsey kufunga bao la tatu huku likiwa bao lake la kwanza msimu huu. Watford walikosa nafasi ya kupata bao kipindi cha kwanza baada ya Odion Ighalo kupiga shuti lililokosa uelekeo.  NYOTA WA MCHEZO - MESUT OZIL (ARSENAL) Mesut Ozil alipiga pasi sita muhimu (ikiwemo pasi mbili zilizozaa mabao) - zaidi ya 

Mesut ozil

mchezaji yeyote wa Arsenal DONDOO UNAZOTAKIWA KUZIFAHAMU Watford haijashinda mchezo wa Premier League mwezi Oktoba (D4 L6). The Gunners imeshinda mechi sita za karibuni dhidi ya Hornets kwenye mashindano yote, ikijumuishwa na michezo mitano ya mwisho kwenye Premier League. Watford imefungwa mabao mengi kwenye mchezo huu (matatu) sawa na mabao waliyofunga kwenye mechi sita ilizocheza uwanja wa Vicarage Road. Ramsey 

aaron ramsey

alifunga bao lake la kwanza msimu huu kwenye Premier League, baada ya kushindwa kufunga katika mashuti 26 (yakiwemo yaliyozuiliwa) msimu wa 2015-16. Mshambuliaji wa Watford Troy Deeney anaongoza kwa kupiga mashuti mengi bila kufunga kwenye Premier League msimu huu (mashuti 23 yakiwemo yaliyozuiliwa). KINACHOENDELEA? Arsenal itapambana na Bayern Munich katikati ya wiki kwenye mchezo wa Champions League hatua ya makundi - mchezo ambao wanatakiwa kushinda - kabla ya kuwakaribisha Everton wikiendi ijayo. Watford, ambao wameshuka hadi nafasi ya 14 kwenye msimamo wa Premier League, watakuwa wageni wa Stoke.

ronaldo avunja recond ya ufungaji bora real madrid


Cristiano Ronaldo sasa ndiye mfugaji bora wa muda wote wa Real Madrid akifunga bao moja Madrid ikiichapa Levante mabao 3-0 kwenye La Liga. Ronaldo, 30, alifunga bao lake la 324 kwenye La Liga katika mechi 310 akiwa na klabu ya Real akimpiku Raul. Ronaldo alitangazwa rasmi kuvunja rekodi hiyo bada ya kufunga kwa shuti kali nje ya box huku mabao mengine ya Madrid yakifungwa na Marcelo na Jese. Mshambuliaji wa New York Cosmos Raul, ambaye atastaafu soka baadaye mwezi Novemba, alikuwa mfungaji wa muda wote wa Real ambapo ilimchukua mechi 741 kufunga mabao 323. Fowadi wa Wales Gareth Bale alipumzishwa wakati wa mapumziko dhidi ya Levante nafasi yake ikitwaliwa na Lucas Vazquez Real ikipanda kileleni. Barcelona inakamata nafasi ya pili kwa tofauti ya mabao baada ya kuichakaza Rayo Vallecano 



picha juu ronaldo akiwa ana chukua tunzo

Saturday, October 17, 2015

mungu awarehehemu ndani ya kipindi kifupi sana

Patty Del Duero's photo.
hawa ni miongoni mwa walie tuachia simanzi ndani ya kipindi hiki kifupi cha uchagunzi ,, munug ndiye mjuaji wa kila kitu

wakti huo huo kesho juma pili ya tarehe 18.10.2015 kunatarajiwa kuwa na mdahalo ambao mgombea wa ccm dkt john pombe magufuli amethibitisha kuwepo katika mdahalo huo , huku edward lowas kupitia sallim mwalimu akiongea na gazeti la mwananchi hatokuwepo,, mdahalo huo utafanyika kuanzia saa 7?:30 mchana

KATIKA MUZIKI LEO TUNA AMBWENE YESAYA (AY)

MAKALA FUPI

Tanzania ni moja ya nchi inayo patikana pembezoni mwa bahari ya hindi ipo ndani ya bara la afrika na uzuri wake iko afrika mashariki ambapo mungu amepapendelea kila kitu, mali asili,vipaji,madini bahari na kila kitu, hapa tanzania pia kuna vitu vingi ambavyo kila kitu tumepewa pia,,

kuna mlima mrefu barani afrika na wanne duniani , kuna tanzanite haipatikani dunia nzima, kuna gesi inayopatikana mtwara kwa wingi, kuna vyura ambavyo havipo dunia nzima, kuna kila kitu, sitaki kuingia huko sana mada ya hivyo nilivyo elezea nitakuja kuvitolea ufafanuzi wake makala  zijazo

leo hii nipo katika vipaji haswa vya muziki huu wa kizazi kipya ambao sasa una tunyanyua na Tanznaia kujulikana kimataifa kama kuna bongo flava japo  ile rythim ya bongo flava haipo ila afadhali inajulikana kuwa kuna muziki huo na alie saidia kwa kiasi kikubwa kufikisha jahazi hilo bila ya kumumunya maneno ni DIMOND PLATNUMZ

Ay ni moja ya legendari wa muziki huu wa bongo flava hapa nchini tanzania , huyu kijana alikuwa katika kundi la EAST COAST  TEAM ambalo liliongozwa na wakali kibao kama vile mwana fa,snare, ay,o ten ,buff g na kubwa la maadui KING CRAZY GK , ILIFANYA VIZURI SANA MIAKA ILE YA 2000s

kujituma siku zote ndiko kunako mfanya mtu kuweza kufanikiwa AY yeye ndiye muanzilishi wa collabo kwa wasanii wanje kwa maanaa ya kushirikishana na hao wasanii kuweza kujulikana tanzania hhatimae afrika kwa ujumla hapa ushahidi ninao kuna hawa SAUTI SOL wa kenya aliwashirikisha wimbo unaitwa i dint wana to be alone(shukuru) huu wimbo una hamasisha kumshukuru mungu kwa hali yoyote ile uliye nayo binadamu,, sauti sol sasa wanajulikana dunia nzima

ay alifanya mengi alianza na  prezoo,mourice kirya,amani,avril,jose chamilion,jaguare, alpha, psquare, sean kingston,miss trinity ,ramya na romeo,, bado muziki wake mkubwa mno ila hiyo yote inapatikana kujituma na harakati za kutaka maendeleo, na wote alio washirikisha tume wafahamu bongo

ay hatuwezi kumsahau japo watu hawa mpi shout out zake kwa maana ya kumshukuru  AY amesababisha collabo ya ommy dimpozy ft j martins, davido na dimond na collabo ushauri mwingine kwa wasanii wengine wengi wa kitanzania

kwanini ay pamoja na juhudi zake bado yuko kawaida nje ya mipaka ya taznaia japo, watanzania tuna jua umuhimu wake na jitihada zake,, kwanini aonekene wa kawaida

je na yeye management yake sio nzuri kama watu wanavyo lalamika kwa managementi ya alikiba? au kuna nini kinaendelea dhidi yake anafanya juhudi kubwa bado muziki wake wakawaida? siku moja nikawa naongea na rafiki yangu PAMELA FELIX yeye akasema kuwa ay muziki wake haja lenga soko la tanzania je hii ni kweli? wote tuna jiuliza hapa ila mimi nime muelewa kitu gani alicho lenga alitoa mifano mingi sana akawalinganisha akina dimond muziki wao, akawaweka akina alikiba, ommy dimpozy na maelezo yake nime yaelewa ila sitaki kufika huko sana leo tujiulize na ntie wasomaji ,, ay ni superstar mpiganaji,

 na kama ni management kwanini halishughulikii swala hili mbona anaweza sana? vipi kuhusu video zake zipo katika quality hilo halina shaka, ule wimbo alio mshirikisha sean kingston video nzuri nyimbo nzuri kwanini haukuwa kama vile tulivyo taka

ay huwa ni muelewa sana nahiisi akiisoma hii itamsaidia kuweza kujua kwanini nje hawampi heshima yake hali ya kuwa anafanya juhudi kubwa na tuna muelewa haswa hapa afrika mashariki ay ashafahamika kwanini nje ya hapo bado


ambwene yesaya ay akiwa marekani akishoot video yake na sean kingston

amefanya collabo na p square mwaka 2008 freezy ilikuwa bonge ya ngoma lakini haija fika mbali kwanini ay....???????? kuna kitu gani au ndio tuamini pia bahati nayo inachangia miongoni mwa wasanii wa afrika mashariki wenye channel nyingi ni ay na anatengeneza channel nyingi sana kwa wasanii wenzake kwanini asitusue

kutusua ninako zungunzia hapa sio kimaisha ,, maisha binafsi sina shaka nae kasha tusua ila maisha ya muziki nje ya nchi je jitihada anazo fanya na feedback.. mrejesho kwa audience sawa na jitihada majibu hapana,, tunaomba mungu ay kwa jitihada zake aende mabali zaidi ya hapa,, ana jitoa anajituma anafanya mziki mzuri,,

kuna nyimbo ina itwa ahsante sikudhani kama itakufa mapema ,, kila kitu kimo katika nyimbo ile lakini kwanini haikutusua hilo swali hilo tumuulize wenyewe au unaweza kucomment ili tumpe majibu


ay akiwa na sean kingston marekani

pia unawezakunitafuta kupitia 0763315006 au 0717 519981

Friday, October 16, 2015

Tanzia!!!! Tanzia!!! Tanzia!!!

Ama kwa hakika wa watanzania wengi tumepatwa na simanzi jana emmanuel makaidi leo, mh deo filikunjombe ,, sio ccm tu bali hata vyama pinzani walielewa kazi zake , mungu ameweka siri kubwa sana katika swala hili la kifo,

wapinzani hawakusimamisha mgombea kutokana na deo filikunjombe alikuwa ana pigania kile ambacho hata wao wapinzani walikuwa wanakihitaji

,pia rubani maarufu tanzania william silaa naye amepoteza maisha katika ajali hiyomungu ilaze roho za marehemu mala pema pepo ni aamin

ibada na kufuata maamrisho yote aliyo yaamrisha na kuacha yote aliyo kataza maana siku na wakati hatufahamu,, mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi;;;
Hussein H Kitambi's photo.

Moja ya Harakati zake wakati wa uhai wake deo filikunjombe

uchumi supermarket zafungwa

Maduka ya jumla ya Uchumi yametangazwa kufungwa kwa oparesheni zake nchini Tanzania na Uganda kwasababu za kubana matumizi .
Mkurugenzi mkuu wa maduka hayo Dr.Julius Kipng’etich amesema kuwa bodi yake imeamua kufunga vituo hivyo kwa lengo la kutathmini muundo wa oparesheni zake nchini Kenya. ”Maduka yetu nchini Tanzania na Uganda yanajumlisha asilimia 4.75 ya oparesheni zetu licha ya kutugharimu asilimia 25 ya oparesheni zetu”.


Maduka ya uchumi katika mataifa hayo mawili hayajazalisha faida yoyote katika kipindi cha miaka 5 swala ambalo linalazimu faida zinazopatikana katika maduka ya Kenya kutumika,alisema Kipng’etich.
Mkurugenzi huyo amesema kuwa tayari maduka hayo yameandika barua kwa Mamlaka ya masoko nchini Kenya ,soko la hisa pamoja na washikadau muhimu kuhusu uamuzi huo na kuongezea kwamba hivi karibuni uchumi itahitaji kuungwa mkono na wamiliki wa hisa ili kuidhinisha mpango huo.
Maduka yote katika mataifa hayo mawili yamefungwa.

source: team tz
Source: BBC Swahili

Antony Martial aanza checheze epl

mchezaji kinda wa manchester united raia wa ufanansa ame chukua tuzo ya uchezaji bora wa mwezi september mara baada ya kufunga na kufanya vizuri kila mechi alizo cheza msimu huu tangu asajiliwe, kinda huyo mwenye miaka 19 ,alisajiliwa na manchester united msimu huu kwa dau la $36

Martial ameichezea monaco msimu uliopita amepataa umaruufu zaidi pindi timu hiyo ilipo kuja kucheza na arsenal klabu bingwa ulaya, aliisumbuangome ya arsenal na kufanya vizuri nchini monaco pia kumemuongezea thamani  kinda huyo,

chelsea walimfuatilia na wametoa ofa ya kuizidi manchester united mchezaj huyo amekataa kujiunga darajani ili atimize ndoto yake ya kutua manchester united, ambapo wamempa jezi namba 9 iliyo wahi kuvaliwa na  rud van nestroy

kocha maricio puchettino kwa upande wake ame chukua maneja bora wa mwezi huu
Issa Maeda's photo.

picha ya antony martial akipokea zawadi yake

Mwenyekiti wa yanga africa akiomba kura

mwaka 2015 ni mwaka ambao una siasa za na muonekano mpya kabisa tunaona baadhi ya watu maarufu wakiomba wapewe ridhaa za kuongoza katika nyazifa mbali mbali zikianzia ujumbe wa nyumba kumi, uenyekiti hadi kufikia ubunge, japo hakuna nafasi ya uraisi kwa wasanii hao na watu wanao cipuki

15.10.2015 zikiwa zimebakia siku 10 uchaguzi mkuu kufanyika leo mwenye kiti wa klabu ya yanga africa  iliyo makao makuu yake jangwani kariakoo ameomba ridhaa kuwa diwani wa mbagala jijini dar es salaam




moja ya picha za yusuphu manji akiwa na kocha wa yanga wakati huo tom santifiet


UBELIGIJI YA UINGEREZA

MAKALA YA MICHEZO

hii si timu ya kubeza katika mashindano ya jayo yatakayo fanyika ufaransa mwakani na ina wachezaji wazuri , tuli watabiria makubwa katika mashindano yaliyo pita ila haikuwa  kama tulivyo dhania kwa maana ya kiwango chao haikuwa vile tulivyo fikiria

kwanini naiita ubeligiji ya uingereza  85% ya wachezaji wanao chezea timu hiyo wanatoka ligi kuu  ya uingereza ambapo  kuanzia kipa hadi mbele wanachezaji wa uingereza, na wana majina makubwa sana sana  nacho fikiria kwanini wana feli?

kwanini hawachezi vizuri? hayo maswali ni ya kujiuliza sana na tuajue .. mie nadhani tatizo sio kocha wala uongozi tatizo lipo kwa taifa wanalo chezea kelele zipo nyingi sana kwa maana ya wachezi hao taifa wanalochezea mpira kwa ngazi ya klabu

uingereza ni sehemu ilipo anzishwa soka ila kuna kelele za kuwapaisha wachezaji wao kwa lengo moja la kuteka soko la kimataifa nia yao kupiga pesa na hilo wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana dunia nzima sasa ina penda timu za uingereza ,

wachezaji wenyewe wana jawa na sifa hadi kufikia kubweteka na sifa walizo nazo chombo kina cho haribu mpira wa nchi hiyo noi vyombo vya habari ,   huwezi kumuuza srerling pauni $49 huku kuna lewandowisk kama atakuja  nchi hiyo hiyo bei haitofika,

sasa uvivu na kubweteka na sifa kwa nchi ya uingereza ndiyo inayo fanya wachezaji wa ubelgiji kufeli katika timu yao ya taifa, kuna vipaji vingi nchi hiyo, wakiacha sifa za kijinga watafika mbali sana ,, kwa maana ya kucheza kwa nidhamu na kutosikia sifa
hawa wafuatao ni wachezaji wa timu hiyo kwa sasa .

washambulaji

Na.jina
9Romelu Lukaku
17Divock Origi

Thursday, October 15, 2015

Tanzia: mwenyekiti wa NLD PIA MWENYEKITI MWENZA kupita kivuli cha ukawa afariki dunia


 moja ya taarifa ya kusikitisha ya siku ya leo  ni kifo cha mwenyekiti mwenza wa UKAWA, ambaye alikua mwenyekiti wa chama cha NLD, Emmanuel Makaidi kufariki dunia akiwa hospitalini huko Lindi ambapo taarifa za mwanzo zinasema alikua akisumbuliwa na shinikizo la damu.
makaidi 2 

 Imethibitika, mwenyekiti mwenza wa UKAWA, Emmanuel Makaidi wa chama cha NLD amefariki dunia leo hospitalini Lindi.

ni mwna siasa wa nne kwa mwaka huu kuanzia august hadi mwezi huu, mungi ailaze roho ya maerehemu mahala pema peponi Aamin

chanzo cha habari hii:milardayo

REAL MADRID YAANZA FUJO EMIRATE

Timu ya soka ya  real madrid ya uhispania imeanza fujo katika timu ya soka ya arsenal ya jijini london mara baada ya kuwa tumia salamu za kuhitaji huduma za nyota wao raia wa chile alexix sanchez hii inatokana na faida ya kujituma na kuupenda mchezo wa soka wa mchezaji huyu mwenye miaka 27

sanchez ambaye alisaini mkataba wa miaka miwili arsenal msimu ulio pita wa 2014-2015 aliiwezesha timu hiyo kushika nafasi ya tatu ligi kuu ya uingereza huku akifunga mabao 25 ya mashindano yote msimu wa kwanza wa usajali wake klabuni hapo , pia sanchez aliweka  kimiani magoli 15 ya ligi kuu ya nchi hiyo

sanchez alisajiliwa na arsenal akitokea barcelona kabla ya hapo alicheza udines ya italia, ni mchezaji wa kwanza kufunga hat trick nchi tatu tofauti, yaani italia,hispania, na uingereza.

sanchez alianza kusua sua mwanzoni mwa msimu huu alianza kufungua akauti ya magoli pale alipo anza kufunga magoli matatu na Leicester city baadae kuifunga manchester united bao mbili katika ushindi wa goli tatu, kisha kushine na kuifungia timu yake ya  taifa goli mbili,, sanchez  hivi sasa anafanya vizuri sambamba na walcot katika timu ya arsenal

hata hivyo sanchez leo katika link ya arsenal  sanchez alimesema anayafurahia maisha ya emirate na hato kuwa na amani kuhama timu hiyo kwa kipindi hiki

real madrid sio mara ya kwanza kutaka huduma za wachezaji wa arsenal msimu uliopita wali mtaka laurent koscielny

arsenala wanatarajia kumuongea mkataba mpya mchezaji huyo na kuwa mchezaji anaye lipwa zaidi emirate, arsenal itakutakana na watford ligi kuu ya uingereza jumamosi hii kabla ya kukutana na buyern munich katika klabu bingwa ulaya,ambapo hadi sasa klabu hiyo haina alama yoyote baada ya kupoteza michezo miwili ya awali na wachambuzi wa micheza kuhoji muelekeo wa arsenal uefa mwaka huu

Monday, October 12, 2015

epl news: manchester united wafurahia majeruhi ya manchester city

idadi ya walio umia ligi kuu  ya uingereza katika michuano ya kutafuta kufuzu michuano ya ulaya itakayo fanyika ufanansa mwakani yazidi kuongezeka tukio hili pia lina wapa nafuu mashabiki wa Manchester united kuona washambuliaji kadhaa wa  jirani zao Manchester city kuumia, mmoja wao ni kun Sergio aguero ifuatayo ni idadi kamili ya wachezaji na timu zao timu

Arsenal
Thomas rosicky,dany welbeck hawa wana mda mrefu kukaa nje kwa kuumia viazi vya miguu wakati Laurent koscielny,mikel arteta na metheu flaming wnategemewa kurudi wekkend

BOURNEMOUTH
Callum wilson

Chelsea
Thibaut courtois week sita,blanislav ivanovic misuli na nemanja matic pia misuli

Crystal palace
Mile jedinak anatarajiwa kurudi

Leicester city
Mathew james

Everton
Leighton naines,tony hibbert na steven pienaar hadi novermber

liverpool
dejan lovren atakosa uchaguzi wa klopp wakati Roberto firmino na Jordan Henderson wanabaki kuwa katika mstari mwekundi wanaweza kurudi au wasirudi weekend hii

Manchester united
Luke shaw wakati wayne rooney,Michael carrick, bastian schweinsteiger ,ander herera na marcos rojo wana tarajiwa kurudi weekend hii

Manchester city
Sergio aguero hadi novermber wakati david silva nae wiki tatu nje  ya uwanja

Hizo ni baadhi ya timu za uingereza ambazo zime athirika na kuumia wachezaji wake  wakati wa mashindano ya kugombania kufuzu  mataifa ya ulaya 2016

HALIMA MDEE AHUBIRI AMANI UCHAGUZI MKUU 2015 TANZNAIA

Halima mdee wa chama cha demokrasia na maendeleo (Chadema)  amewaomba mania watanznaia wote katika ucchaguzi mkuu ujao akizungunza katika kipindi cha amplifaya cha milard ayo kupitia clouds fm ,mdee amesema Amani ya tanznaia ina jengwa na mtanznaia mwenyewe hivyo hatuna budi kugombana au kuhatarisha Amani tuliye nayo , mdee pia ame waomba idara husika za ulinzi na usalama  kulisimamia jambo hilo kwa ukamilifu

Halima mdee ni mbunge wa KAWE jijini dar es salaam kupitia chedeema aliongeza kuwa sisitiza wanacnhi kuwa hali ya kudharauliana baina ya jinsia sio sahihi kwani, katika wanawake wanao ambiwa dhaifu pia wapo wanawake walio kuwa kamili hali kadhalika pia kuna  wanaume dhaifu na kinyume chake kuna wanawaume walio kamili, hivyo tuwe na upendo na tupeane haki kwa kila mtu na stahiki zake

Mdee ameongezea kwa kuwa omba wanawake wote kupitia vyama vyote kujitahidi kuziba nafasi mbali mbali za uongozi amemalizia kwa kusema wanawake wote kupitia chama chochote wako sawa na lugha yao ni moja  ya  muungano kwa wanawake wote na kwa Tanzania kwa ujumla

Wakati zikiwa zimebakia siku 12 kufikia uchaguzi mkuu wa awamu ya tano. Viongozi mbali mbali wana malizia kampeni zao katika majimbo tofaut kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuongoza Tanzania kipindi cha miaka 5

WANATUCHORA

MAKALA

Ifikapo tarehe 25/10/2015 tukio zito la kihistoria Tanznaia,, ambapo kila mwananchi ataamua nani ampe kura ili ashike hatamu ya kuiongoza nchi yetu ya tanzania kwa kipindi cha miaka mitano ijayo, naamini mwaka huu hakuto kuwa na makosa katika kumchagua mtu sahihi wa kuweza kupewa dhamana ya watu milioni 45 ya watanzania, ni chaguzi ya awamu ya tano kupitia vyama vingi,,akipatikana raisi atakuwa raisi wa awamu ya tano pia

Huu ni uchaguzi ambao una changamoto na hisia kubwa sana ukilinganisha na chaguzi zote zilizo pita kuanzia mwaka 1995 baada ya uchaguzi mkuu wa kwanza kuanza kupewa nafasi kupitia vyama vyingi. nikikurudisha nyuma mwaka huo vilikuwa vyama vingi sana,, lakini vyama vilivyo kuwa na mvuto wakati huo vilikuwa .. NCCR mageuzi,CUF  hivi vilikuwa vina chuana vikali na chama tawala cha mapinduzi (ccm)

mshindi akawa benajamini mkapa kupitia chama cha mapinduzi (ccm) vyama vingine vilizidi kushamiri na kuweka mizizi taratibu, na kuteka hisa za wanacnhi wengi . naweza kudiriki kusema chama cha demokrasia na maendeleo chadema,, nacho kilitokeza vizuri  kuanzia mwaka 2000 imeweza kuchukua hisia nyingi na 2005 walipo msimamisha mwenyekiti wao mh freeman mbowe

kiliweza kutikia na kuweka misingi imara  ilishika namba mbili katika uchaguzi huo wa raisi ,, kuanzania hapo ikawa ndio chama pinzani sasa chenye mashabiki na wameweka imani yao kuwa kitaweza kuwaokoa  katika swala zima la uongozi

kwanini nasema wana tuchora, Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo tuna amani ya kinadhalia kwa maana amani ya vita hatuna japo amani ya maisha kwa maana ya kazi nzuri na maisha ya milo mitatu haupo, ila hata hiyo amani tuliyo nayo  pia nimuhimu sana katika taifa letu tulivu

nchi nyingi barani africa wana TUCHORA na kutaka watuweke katika historia ya nchi yenye machafuko duniani, wana subiri je na sisi tutaingia katika machafuko?  wengine washa ongea mapema mfano raisi wa Rwanda alisema mapema, wakti lowasa anahama ccm kuhamia chadema kuwa tutaona  Tanznaia ya mwaka huu.

hivyo hivyo nchi nyingi zilizo tuzunguka nazo zina tuangalia na  nina amini wanaomba dua usiku na mchana ili waone nasie tunaingia katika machafuko ya wenyewe kwa wenyewe kama walivyo wao,, hii inatoka kana na siasa ya mwaka huu kuwa na mvuto wa aina yake haswa baada ya kuhama hama wana siasa kutoka huku kwenda huku,,

mwisho wa siku wana tuchora, majibu yao ni rahisi mno wajue kuwa Tanzania ni ile ile ya miaka yote mungu ndiye anae ongoa taifa hili na waache watuchore ila wamefeli,, uchaguzi huu utatakuwa wa haki na usawa haswa baada ya nec chombo kinacho simamia uchaguzi kusimama imara na kuwatoa hofu kuhusu uchaguzi huu.. na naamini yoyote atakaye shindwa ata kubali tena kiroho safi

na hii itaitwa tunawakomeshe wanao tuchora kwa jicho la ubaya ..

imani yangu kubwa yoyote atakaye chaguliwa kuwa kiongozi wa nchi awe chadema, awe wa ccm, awe wa act au chauma na udpp atatekeleza yale yote ambayo tume yaagazia,,, nina imani kubwa japo fainali naiona kati ya MAGUFULI na LOWASA,, yoyote katika huyu

mungu ibariki TANZANIA,, Mungu wabariki wananchi wake,, mungu ibariki siku ya tarehe 25/10/2015 Aamin ,

wasiliana namini kwa kukosao ..maoni au maelezo mengine kupitia 0763315006/0717519981 au aminiamali@yahoo.com

Saturday, October 10, 2015

movie ya blatter na platin yanza upya

Lile sakata la kukata rufaa baada ya sepp blatter na washiriki wake juzi kuomba kukata rufaa, naye Michael platin ameomba rufaa kwa adhabu aliyo pewa ya kupisha uchunguzi kwa miezi sita

Joseph sepp blatter na Michael platin walifungiwa kupisha uchunguzi baada ya kukutwa na hatia ya  pesa ambazo ziliwekwa account binafsi ya platin badala kufika katika account ya shirikisho , hayo wameyafanya kati ya blatter na platin hivyo ,wamepishwa kuchunguza sakata hilo
Wiki hii blatter ali leta barua ya kuomba rufaa shauri lake lisikilizwe ili uchunguzi huo na tuhuma hizo zisiendelee nae mshirika wake platin amekuja siku moja baadae kukata rufaa

Wakati huo huo mashindano ya kufuzu mikiki mikiki ya ulaya imefanikisha timu ngeni kutinga fainali hizo zitakazo fanyika ufanasa , irend ya kaskazini nayo imefuzu mashindano hayo kwa mara ya kwanza baada ya miaka mingi kupita wakati ureno tumezoea kupita kwa taabu mwaka huu imeingia mapema kabla makundi hayajaisha, nayo uingereza imeingia mashindano hayo ,,hwa huwa wanaingia ila kupenya katika mashindano yenyewe ndio taabu

Wachezaji wa arsenal wanaonekana wako katika form mara baada ya washambuliaji wake kutia kamba karibuni kila mechi, sanchez aliifungia chile wakati brazili ikifungwa goli mbili bila,, huku Santiago cazorla naye amefunga goli mbili, wakati theodor walcot akifunga goli moja katika ushindi wag li mbili bila ya majibu

Fabrigas ameweka record ya kutoa usaidizi mwingi katika timu ya taifa ya Hispania na kuwashinda iniesta ,,xavi

matokeo ya tuzo za afrimma yaliyo fanyika usiku wa 10/10/2015

Matokeo ya tunzo za afrimma award 2015 Miongoni mwa tuzo kubwa barani afrika ukiachilia zile za mtv hizi nazo kubwa mno wasanii mbali mbali mbali walishiriki katika kutajwa kuwania tunzo hizo Miongoni mwa tunzo ambazo zilipigiwa kelele na mashabiki wa Tanzania ile ya msanii bora africa mashariki ambayo team dimond na team kiba walikuwa wanachuana vikali Tuzo ya msanii bora wa kiume afrika magharib imeenda kwa davido ambapo hapa nae alikuwa na hasimu wake wizkid,wakati ya mwanamuziki bora wa kike imeenda kwa Yemi alade ,huku nyimbo ya kushirikiana ikiwa imeedna kwa bracket ft dimond na tiwa savage Sasa msanii anae chipukia imeenda kwa ommy dimpoz, na msanii bora afrika mashariki imeenda kwa v-money ,, vanesa mdee Wakati dimond akiwa ameshinda ushindi mkubwa kwa kubeba tunzo tatu ,msanii bora wa afrika mashariki,dancer bora wa video na msanii bora wa mwaka Dimond platnumz ame peperusha tena bendera ya Tanzania vivo hivyo kwa ommy dimpoz na vanesa mdee

Friday, October 9, 2015

LIVERPOOL YAPATA KOCHA MPYA

Timu ya soka ya liverpool imepata kocha mpya mara baada ya kumtimua kocha wake brendan rodgers siku tatu zlizo pita, hii ilitokana na mwenendo mbovu wa timu hiyo tangu kocha huyo alivyo ichukua 2011

jorgen klopp huyu ni kocha ambaye naye ali timuliwa virago msimu uliopita kutoka timu ya borrusia dotmund mara baada ya misimu miwili ya mafanikio

kloop ninani? jurgen klopp amezaliwa 16 june 1967, aliichezea mainz kwa miaka 12 baada ya hapo kawa manager wa timu , 2008 amejiunga na borrusia dotmund amabapo alichukua ubingwa wa bundesliga mara mbili mfululizo  2011 na 2012

amefunga jumla ya magoli 52 ambapo alicheza nafasi mbili tofauti aliwahi kucheza kama mshambuliaji  kabla ya kurudi kuwa beki mwaka wa 1995

aliifundisha mainz kwa miaka 7 baada ya kustaafu rasm soka na ali jiudhuru kuifundisha timu hiyo mwaka 2007-2008 record zakealimaliza kushinda mechi 109 ,  draw78 ,  alipoteza 83

hakuwahi kufundisha nchi nyingine zaidi ya ujerumani na sasa ni manager wa liverpool ambapo amekubali mkataba wa mika mitatu kuifundisha.

Record
timuWdrawya kufungwaushindi %Ref.
Mainz 0527 February 2001[2]30 June 2008[2]270109788340.37[2]
Borussia Dortmund1 July 2008[19]30 May 2015[15]318179697056.29[19]
Liverpool8 October 2015[21]yupo sasa0000!
jumla58828814715348.98

MWAROBAINI WA TANZANIA UMEPATIKANA (MAGUFULI VS LOWASA)


UCHAMBUZI WA SIASA 2015 TANZANIA

Siasa ni mfumo kamaili wa maisha ya mwanadamu duniani ,mahali ambapo siasa yake haiko sawa sawa nchi hiyo inatumbukia katika majanga mazito kiuchumi,amani,ujambazi na uhalifu mbali mbali katika nchi husikia, ndio manaa nika aanza kuitafsiri siasa maana yake halisi.

Tanzania ni nchi ambayo ina amani  ya vitendo  japo bado amani ya maisha haiko sawa kwa maana ya , wananchi wanaishi chini ya dola moja hii pia inatokana na siasa kwa maana ya vyama tawala kuna mahali bado hawaja paweka sawa ili wnanchi wapate fursa ya kupata ajira zilizo kuwa sahihi

leo hii swala zito liko katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakao fanyika  ocotba 25 ,kuna vitu vingi vime tokea ndani  yake , tumeona wanasaiasa wana hama kutoka chama hiki kwenda chama kingine ,,tumeona wana jiudhuru wengine kwa kukosana au kushindwa kuelewana kutokana na misimamo yao,

vyama vingine  vinaanzishwa na vina kuwa na nguvu mno mfano ACT-maendeleo chama cha mh zitto zuberi kabwe kimekuja juu sana na kuleta ushindani na kuonesha kuwa kimekuja kamili kinazidiwa na wabunge wa CCM tu maana wameweka wagombea ubunge karibuni kila mkoa
swali ni kwamba je hao wabunge walio wekwa wana kidhi vigezo vya kuwa wabunge?

 tuwaachie wananchi,,lakini pia ACT  kimenifurahisha kwakuwa kinatoa fursa kwa vijana kuna vijana wana umri mdogo nao wanaanza kupata uzoefu wa mikiki mki ya siasa kuna rafiki yangu DOTTO JOSEN BAHIMU yeye nae yuko na anagombea ubunge  ngara na sina shaka nae katika uongozi.

mjadala uliopo hapo na uhakika mkubwa uliopo na ushindani uliopo ni kati ya  DKT JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI na EDWARD NGOYAI LOWASA hii ndio mechi kubwa ambayo tuna isubiri na ninao uhakika hawa ndio haswa ndio wagombea wenye mvuto na hisia kubwa kwa watanzania wote,, huku kuna timu HAPA KAZI TU huku kuna timu MABADILIKO,, wote hawa lengo lao ni moja tu la kuiongoza tanznaia na vilivyomo kwa maana ya rasilimali

,,mwaka huu ni mwaka wa mabadiliko si maanishi mabadiliko ya kumchagua LOWASA hapana bali kuna  kitu nimekiona tena kizuri mno,, kwa jicho la kawaida huwzi kuona na  kujaribu kukata tamaa

kwa hawa wagombea wot wawili ninao uhakika mkubwa yoyote atakaye chukua madaraka  ataifikisha Taznaia katika level nyingine iwe timu hapa kazi tu au uwe timu mabadiliko ule mwarobaini wa kiongozi bora umepatikana nitakuja kueleza tena baada ya mwaka mmoja kupita.. maana kuna vitu tutaona vita badilika .. mimi nina imani na wote, wanae muita fisadi atataka kuonesha kuwa yeye kiongozi gani ili afute ile fikra mbovu  na wanae muita dikiteta naye anataka kuonesha kuwa  usimamizi bora unatakiwa uweje, viva magufuli viva lowasa

Wednesday, October 7, 2015

Juma Nature ameitungia nyimbo Arsenal miaka 4 iliyopita

mara baada ya arsenal kuifunga Manchester united ule wimbo wa Juma Nature alio uimba tatu bila na kundi lake la tmk wanaume halisi  tatu bila tatu bila sasa wafufuka rasmi mara baada ya timu ya soka ya arsenal kuifunga tatu bila club hiyo ya jiji hapa

kutokea kipindi cha miaka mitano iliyo pita arsenal timu hizo zimekutana mara 14 arsenal imeshinda mara 4 na manchester united imeshinda mara 7 huku zikitoka sare mara 3 ...wakati wote huo arsenal bado  hawajalipa kipigo cha bao 8-2 mwaka 2011

mabao ya arsenal yalifungwa na  alex sanchez maboa mawili na bao la tatu la arsenal  limefungwa na Mesut mustafa OZIL.. bao la kwanza lilipatikana dk ya 5 ambapo Ozil amempatia usaidizi sanchez na kufunga goli zuri la kisigino   baada ya hapo arsenal waliliandama goli la manchester united dk mbili baadae arsenal wamepata goli  la pili amabapo lilipatika kana ndani ya sekunde nne kutokea golini mwa arsenal

kikosi cha arsenal kilinogeshwa na cech,bellerin,monreal,metersacker,paulista,coquelin,ramsey,cazorla,theo walcot,ozil na sanchez  huku  man u ikipambwa na , de gea,damian,young,blind,smalling,carrick,depay,schweinsteiger,martial,rooney,mata

kipindi cha kwanza kinaisha arsenal kasha ifunga goli tatu baada ya kipindi cha pii kuanza luis van gal amefanya mabadilko na kumuingiza ,MAROUNE FELLAIN  akimtoa depay na damian kutolewa kaingia vakencia,, mabadiliko hayo yalichangamsha mchezo ambapo man u iliamka usingizini  nakufnya mashambulizi huku wakitawala kipindi chote cha pili ila sub hizo hazikuleta matunda kwani hawakuweza kupata goli hata la kufutia machozi

katika msimo wa wa wa ligi sasa manchester city anaongoza akiwa na alama 18 akifuatiwa na arsenal akiwa na alama 16 sawa na manchester united mwenye  alama 16  ..arsenal anafaida ya goli sita huku man u akiwa na faida ya goli 4 mabingwa wa ligi hiyo msimu uliopita wako katika nafai ya 16 chelsea

arsenal itaikabil watford katika ligi baada ya hapo ina kazi ngumu ya ligi ya mabingwa buyern munich katika msimamo wa kundi hilo lenye timu kama buyen munich ,olympiacos,dynamo zegreb na arsenal ,,huku msimamo ukiwa  inashika mkia baada ya kufungwa mechi mbili za awali