Aesanal ni klabu iliyopo kaskazin mwa jiji kongwe nchini england miongoni mwa majiji ya nchini humo yaliyo na timu nyingi zinazo cheza ligi kuu, mfano westham united, qpr,tottenham spurs,chelsea na arsenal hizo baadhi tu zilizopo kule ila kuna timu kama kumi leo makala hii itahusu zaidi timu ya arsenal ambayo makao makuu yake yapo pale emirate studium kaskazin mwa london kuna maswali mengi yakujiuliza kuhusu timu hii
unaweza kujiuliza kwanini arsenal kwa miaka hii ya karibuni haija chukua vikombe hususani EPL maana kila mshabiki wa soka barani humo ukimuuliza atakwambia miaka 11 bila ya kombe ataanza kucheka na kumtupia neno arsenal
kwanini arsenal haichukui komnbe? hili ni swali zuri sana la kujiuliza hali yakuwa mara nyingi timu hiyo inaaanza vizuri

jibu: arsenal haina lengo la baya kabisa bali vitu viwili vinavyo isumbua arsenal 1.wenger 2. majeruhi wenger ina igharimu vipi arsenal kiburi chaake cha kutotaka kujua kuwa falsafa yake imefeli sasa ina bidi afanye mixing ili kusaidia wale waliopo hii ni sababu kubwa inayo msumbua mzee wenger,, kwa kikosi kilichopo si kibaya bali ubaya mzee kutotaka kukubali kuwa inahitajika watu wa kuziba vilaka katika timu yake,, yaani quality player( wachezaji wenye ubora) kama angekuwa mwepesi kukubali hilo aisinge pata taabu naamini angechukua vikombe
2.majeruhi arsenal kila ifikapo mwezi wa 11 kila mwaka najeruhi hawakosekani kwa mfano dany welbeck,jack wilshare,Aaron ramsey,alexis sanchez,theo walcot oxide chamberlain,ospina,, koscienly, per metersacker,cazorla,rosicky debuch, coquelin,arteta na wengine walikuwa wanaumwa na bado wanaendelea kuumwa kipindi ambacho arsenal inawahitaji sana hii ili kuwa pigo kubwa naamini wachezaji wamekosa hali ya kujiamini baada ya wenzao kupata majeraha na hali ya kawaida wachezji wanao pata nafasi ya kuanza mara kwa mara wakiumia kwa mkupuo timu inakuwa katika wakati mgumu sana na hili lina ikumba arsenal kila mwaka na sijajua madokta wao wnafanya nini na kwanini kila mwaka iwe kwa arsenal na si timu nyinge hili nalo swala la pili linalo isumbua arsenal
3. mzee wenger amefanya makosa makubwa sana katika kipindi hiki cha karibuni kama arsenal wasinge uza wachezaji wake key player walio kuwepo kipindi hiko hivi sasa arsenal ingekuwa kama brcelona kuanzia 2008 haadi 2013 alivyo malizia kuuza van persie hebu angalia list hii, ROBIN VAN PERSIE,, SAMIR NASRI, GAEL CLICH,CESC FABRIGAS,ALEXANDER HLEB,EMANUEL ADEBAYOR,.ALEX SONG. hawa wote wasinge uzwa kwa vipindi hivyo na kubaki nae hivi sasa arsenal ingekuwa timu nyingine ukiangalia hao walikuwa katika link ya kidunia kabisa hili pia ni kosa kubwa

kwa kipindi hiki kilicho baki ubingwa uko wazi kwa yoyote yule kati ya wafuatao, arsenal,manchester united na manchester city hii ligi haitabiliki kabisa huyu leicster city atahangaika mwisho wa siku atambania mkubwa mmoja kuingia top four ila kwa maono yangu kuchukua ubingwa hapana,,