dauda ameongeza kuwa jitihada zimefanyika ili kuweza kufanya hivyo kwani raisi wa tff Jamal Malinzi alijaribu kuwa siliana na mwakilishi wake alie ambatana na samata katika safari hiyo ambayo nyota wa tp mazembe mbwana samata ameibuka kuwa mchezaji bora wa afrika anae cheza ligi za ndani na kumuacha rafiki yake robert kidiaba

ametoa mfano wa sisi waandishi wa habari kuwa katika somo la journalism kuna kipengele kina itwa no research no write kama huja fanya uchunguzi usiandike habari hii inatokana na sasa mitandao ya kijamii kuwa mingi na watu kuandika bila kujali na kujua nini kimetokea amewaomba watu wa mitandao ya kijamii kuwa wastarabu na hbari zao ili kusiwe na simto fahamu na kutoa lawama ambazo hazina msingi katika jambo lolote
dauda pia ameongeza ushindi wa aubamayange kuwa kwake yeye aliuona sahihi hii imetokana na yaya toure kulalamika kuwa haikuwa sahihi mgaboni huyo kupata zawadi hiyo ukilinganisha na mafanikio yake kwa mwaka uliopita
No comments:
Post a Comment