
dunia huwa inatukimbiza sana wanadamu mungu tuna muweka mbali sana dini ya uslam ina huwisha yote ambayo binadamu inatakiwa afanye ili apate neema duniani hadi kabrini ama kwa hakika ukifanya hivi kwa nia mungu atakuongoza
naomba mungu atuongoze katika njia iliyo nyooka insha Allah
No comments:
Post a Comment