Baada ya kusikika dimond platnumz akijinadi kuwa Mtv wana mpigia simu ili kujaji kazi za wasanii wa bongoflava wakati wakipeleka video zao huko hayo aliya zungunza akiwa na dijaro wa lungu tbc2 katika kipindi cha papaso, clouds fm kupitia xxl kinpengele cha 255 cha perfect chrispin hawakuwa nyuma katika hilo wakampandia hewani alikiba kueleza alicho sikia hicho kutoka kwa dimond amabapo dimond alisema kuwa yeye sio mbanaji maana kuna conection nyingi amewapa wasanii ikiwemo hiyo ya kuto wabania pindi apigiwapo simu kuhusu kuikubali video ya msanii kutoka Tanzania
alikiba amewataka mtv kutoendelea na hivyo wanavyo fanya au kama kama kweli wana fanya hivyo wanakosea kwa sababu kipaji cha msanii haki jajiwi na msanii mwingine kipaji cha msanii kina jajiwa na fans na wadau wa muziki hivyo kama mtv wanafanya hivyo sio sahihi kabisa kingkiba amesema ila hilo inawezekana kabisa ikawa sio kweli kutokana alilo lisema dimond na akasema
No comments:
Post a Comment