
YAYA TOURE AKIWA KAZINI MANCHESTER CITY
Mchezaji wa Manchester city na ivory coast Yaya toure ame zilaumu tuzo zilizo tolewa afrika mwaka huu kipengele alicho kipinga ni kile alicho kuwa anashindana na pierre aubamanyang cha mchezaji bora anae cheza soka nje ya afrika
kiungo huyu mwenye miaka 32 ameiwezesha kuchukua kombe ivory coast la afrika mwaka uliopita tangu wafanye hivyo mwaka 1992 na alitajwa kuwa katika kikosi bora ktk mashindani hayo
amepoteza ushindi huo endapo angeshinda ingekuwa rekodi yake ya kipekee maana angechukua mara tano ange mshinda samuel etoo
yaya toure amesisitiza kuwa hata fifa wkwa uchafu wote tunao usikia ila kwa hili wasinge fanya hivi hata kidogo, shughuli hiyo ya kuchagua mchezaji bora imefanywa na makocha na watu wa ufundi kumchagua mchezaji bora nimesikitishwa sana na tukio hili yaya akiongea na AFRIQUE FOOT `` ninasikitisha kuona afrika nayo inafikia hapa tulipo fika hawa fikirii kuwa mafarikio ya afrika ni muhumi sana, nafikiria hii ni aibu kwa bara hili sisi waafrika hatufikirii kuwa afrika ni muhimu sana tunapenda kuiga kila kitu kutoka nje mabapo sio sawa alisema toure,
yaya toure anasifika kuwa husema ukweli wakati swali linapo kuja katika interview zake
mwisho amemalizia kuwa yaya toure ata jihurumia mwneyewe kama yaya toure na acha afrika ijihudumie kama afrika
No comments:
Post a Comment