Edwin senzaba ni mhadhiri chuo kikuu cha dar es salaam lakini pia ni maarufu kwa kitabu chake cha NGOSWE KITOVU CHA UZEMBE ambayo kilipendwa na kinaendlea kupendwa nchhini na hata nchi za karibuni mwa tanzania
ngoswe kitovu cha uzembe kina zungunzia maisha ya kawaida na ya kila siku ya mwanadamu na udhaifu wake ambavyo kitabu hiko kina tumika kujibia maswali ya somo la kiswahili kidato cha nne
No comments:
Post a Comment